Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Mashariki ya Kati

  • Waziri Mkuu wa Sweden: Marekani inapinga ukweli wa mambo kuhusu Asia Magharibi

    Waziri Mkuu wa Sweden: Marekani inapinga ukweli wa mambo kuhusu Asia Magharibi

    Apr 16, 2019 06:52

    Waziri Mkuu wa Sweden, Carl Bildt ameutaja mpango wa Marekani wa 'Muamala wa Karne' kuwa usio wa kiuadilifu na kubainisha kwamba serikali ya Trump inajaribu kukana ukweli wa mambo kuhusu suala hilo.

  • Ilhan Omar: Hatua ya Trump dhidi ya IRGC itawaweka hatarini askari wa US

    Ilhan Omar: Hatua ya Trump dhidi ya IRGC itawaweka hatarini askari wa US

    Apr 10, 2019 02:27

    Mbunge Muislamu katika Baraza la Wawakilishi la Marekani, Ilhan Omar amekosoa hatua ya Rais Donald Trump ya kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC katika orodha ya Marekani ya makundi ya kigaidi na kusema kuwa, kitendo hicho hakitakuwa na matokeo mengine ghairi ya kuchochea zaidi taharuki.

  • Ukosoaji mkali wa Papa juu ya nafasi ya Wamagharibi katika kuwaua raia wa nchi za Asia Magharibi

    Ukosoaji mkali wa Papa juu ya nafasi ya Wamagharibi katika kuwaua raia wa nchi za Asia Magharibi

    Apr 09, 2019 04:27

    Nchi za Magharibi kama vile Marekani, Uingereza, Ujerumani na Ufaransa ndio wauzaji wakubwa wa silaha kwa serikali za Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) hususan washirika wa Magharibi katika eneo hilo kama vile wanachama wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi, Misri, Jordan, Saudia, Bahrain na utawala haramu wa Kizayuni.

  • Marekani yaendelea kurundika silaha Mashariki ya Kati

    Marekani yaendelea kurundika silaha Mashariki ya Kati

    Feb 20, 2019 02:40

    Afisa mwandamizi wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) amesema asilimia 50 ya silaha zilizouzwa na Marekani mwaka jana 2018, zilinunuliwa katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • IRGC: Saudia ndiyo roho ya maovu yote Mashariki ya Kati

    IRGC: Saudia ndiyo roho ya maovu yote Mashariki ya Kati

    Feb 19, 2019 15:52

    Naibu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema Saudi Arabia ndiyo roho ya maovu yote katika eneo la Mashariki ya Kati na duniani kote kwa ujumla.

  • Meja Jenerali Baqeri: Maadui wanaeneza chuki dhidi ya Iran ili wapate soko la silaha zao Mashariki ya Kati

    Meja Jenerali Baqeri: Maadui wanaeneza chuki dhidi ya Iran ili wapate soko la silaha zao Mashariki ya Kati

    Feb 11, 2019 03:30

    Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran amesema maadui wa Jamhuri ya Kiislamu wameshadidisha jitihada zao za kueneza chuki dhidi Iran (Iranophobia) wakiwa na tamaa na lengo la kusaini mauzo ya silaha zao na nchi za eneo la Mashariki ya Kati.

  • Kuongezeka harakati za kisiasa za Russia  Asia Magharibi; kukabiliana na hatua za Marekani

    Kuongezeka harakati za kisiasa za Russia Asia Magharibi; kukabiliana na hatua za Marekani

    Jan 27, 2019 08:08

    Katika miaka ya karibuni Russia imezidisha pakubwa harakati zake katika eneo la Asia Magharibi na kaskazini mwa Afrika. Nukta muhimu kuhusu jitihada hizo za Russia ni kuimarisha uwepo wake wa kijeshi huko Syria tangu Septemba mwaka 2015 kwa lengo la kupambana na makundi ya kigaidi na kuiunga mkono serikali halali ya Syria.

  • Russia yaamua kususia mkutano wa Marekani wa Warsaw

    Russia yaamua kususia mkutano wa Marekani wa Warsaw

    Jan 24, 2019 04:05

    Ikiwa ni katika fremu ya malengo yake inayoyafuatilia katika eneo la Mashariki ya Kati, Marekani ina mpango wa kuitisha mkutano hapo tarehe 13 na 14 mwezi ujao wa Februari huko Warsaw mji mkuu wa Poland chini ya anwani ya "Mkutano wa Amani na Usalama katika Mashariki ya Kati".

  • Hatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Mashariki ya Kati imegeuka kaburi la matarajio yasiyoweza kufikiwa ya Marekani

    Hatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Mashariki ya Kati imegeuka kaburi la matarajio yasiyoweza kufikiwa ya Marekani

    Jan 04, 2019 16:48

    Hatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa, eneo la Mashariki ya Kati na magharibi mwa Asia limegeuka kuwa kaburi la matarajio yasiyoweza kufikiwa ya Marekani kutokana na mapambano na kusimama kidete kwa taifa la Iran.

  • Qassemi: Iran ndiyo nchi yenye taathira kubwa zaidi Mashariki ya Kati

    Qassemi: Iran ndiyo nchi yenye taathira kubwa zaidi Mashariki ya Kati

    Jan 01, 2019 14:29

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, nchi za dunia zimekiri kivitendo kwamba eneo la Mashariki ya Kati haliwezi kushinda na kuondokana na matatizo ya sasa bila ya msaada wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS