-
Nukta muhimu katika mahojiano ya Sayyid Hassan Nasrallah na Televisheni ya Al Mayadeen
Dec 28, 2020 23:29Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrallah Jumapili 27 Disemba alifanya mahojiano muhimu na Televisheni ya Al Mayadeen ya Lebanon. Katika mahojiano hayo aliwakumbuka na kuwawenzi Shahidi Luteni Jenerali Hajj Qassem Soleimani na Abu Mahdi al Muhandis.
-
Jalali: Iran ina haki ya kulipiza kisasi kiistratijia; mauaji ya kigaidi ya shahid Fakhrizadeh
Dec 08, 2020 03:56Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Russia amesema kuwa, Tehran ina haki ya kulipiza kisasi mauaji ya kigaidi aliyofanyiwa mtaalamu wake wa nyuklia na masuala ya ulinzi, shahid Mohsen Fakhrizadeh.
-
Mauaji ya kiuoga ya mwanasayansi wa Iran na wajibu wa taasisi za kimataifa
Nov 30, 2020 01:05Ikiwa ni katika kudumisha hatua zake za kijinai na kigaidi dhidi ya taifa la Iran, Ijumaa tarehe 27 Novemba utawala wa Kizayuni wa Israel ulitekeleza mauaji mengine ya kigaidi dhidi ya Mohsen Fakhrizadeh, mwanasayansi bora na mashuhuri wa Iran, katika mji wa Abesard, mkoani Tehran.
-
Ripota maalum wa UN: Mauaji ya mwanasayansi wa Iran ni ukiukaji wa Hati ya Umoja wa Mataifa
Nov 28, 2020 04:16Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa ameyaelezea mauaji ya mwanasayansi wa Iran Shahidi Mohsen Fakhrizadeh kama "mauaji ya nje ya mipaka yaliyofanywa kwa lengo maalum" na akasisitiza kuwa, kumkosesha mtu haki ya kuishi katika kipindi cha amani ni ukiukaji wa Hati ya Umoja wa Mataifa.
-
Trump athibitisha kuhusika Mossad katika mauaji ya shahidi Fakhrizadeh
Nov 28, 2020 04:16Hatua ya rais wa Marekani ya kuusambaza ujumbe ulioandikwa na mwandishi mmoja wa habari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel imethibitisha kwa njia isiyo ya moja kwa moja kuhusika utawala huo katika mauaji ya mwanasayansi wa nyuklia wa Iran.
-
Raisi: Iran imeazimia kuwafuatilia walioamuru na waliotekeleza mauaji ya kigaidi ya Kamanda Soleimani
Nov 09, 2020 08:42Mkuu wa Vyombo vya Mahakama vya Iran amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imedhamiria kwa dhati kutekeleza kwa uadilifu kwa wale wote walioamuru na waliotekeleza jinai ya kumuuwa kigaidi Kamanda Qassem Soleimani.
-
Makumi wauawa katika shambulio la wabeba silaha Ethiopia
Nov 03, 2020 03:39Makumi ya watu wameuawa katika shambulizi la wanamgambo waliobeba silaha magharibi mwa Ethiopia.
-
Mauaji ya kigaidi ya viongozi; mbinu ya Kizayuni inayotumiwa na Saudi Arabia nchini Yemen
Oct 30, 2020 03:57Wizara ya Mambo ya Ndani ya Yemen imetangaza kupitia taarifa kwamba mashirika ya ujasusi ya nchi zinazounda muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia ndiyo yaliyopanga mauaji ya kigaidi ya Hassan Muhammad Zaid, Waziri wa Michezo na Vijana wa serikali ya uokovu wa kitaifa ya Yemen.
-
Wauaji wa Waziri wa Michezo wa Yemen wajulikana, Ansarullah yailaumu Marekani na Saudia
Oct 28, 2020 23:23Vyombo vya usalama na upelelezi vya Serikali ya Uokovu wa Kitaifa nchini Yemen vimebaini utambulisho wa watu waliofanya mauaji ya aliyekuwa Waziri wa Michezo na Vijana wa nchi hiyo, Hassan Zaid.
-
Umoja wa Afrika walaani mauaji ya raia nchini Nigeria
Oct 22, 2020 10:18Nchi ya Nigeria inaendelea kukumbwa na hali ya machafuko baada ya askari usalama kuwatawanya kikatili vijana walioandamana dhidi ya ghasia za polisi, na kuua watu kadhaa. hayo yametangaza na shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International.