-
Mke wa Waziri Mkuu wa Lesotho afikishwa mahakama kwa kumuua mke wake wa kwanza
Feb 06, 2020 03:38Mke wa Waziri Mkuu wa Lesotho, Thomas Thabane alipandishwa kizimbana jana kwa tuhuma za kumuua mkwe wa kwanza wa kiongozi huyo siku mbili kabla ya mumewe hajababidhiwa ofisi mwaka 2017.
-
Makumi ya watu wauawa katika mapigano baina ya makundi hasimu CAR
Jan 29, 2020 10:08Mapigano makali yaliyotokea baina ya makundi hasimu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) yamesababisha mauaji ya makumi ya watu na kuwalazimisha mamia ya wengine kukimbia nyumba zao.
-
Ugaidi, vikwazo na mauaji ya kigaidi, stratijia tatu za Magharibi dhidi ya kambi ya muqawama
Jan 19, 2020 07:27Wizara ya Fedha ya Uingereza katika hatua yake ya uhasama, imeliweka kikamilifu jina la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon katika orodha yake ya taasisi ambazo kwa mtazamo wa London ni za kigaidi.
-
Bwabwaja mpya za Trump kuhusiana na mauaji ya Luteni Jenerali Qassim Soleimani
Jan 14, 2020 23:18Januari 3 mwezi huu, Marekani ilichukua hatua ya kijinai na isiyo ya kisheria ya kumuua Luteni Jenerali Qassim Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) na Naibu Mkuu wa Harakati ya Wananchi ya Hashd al-Shaabi ya Iraq pamoja na watu waliokuwa wamefuatana nao.
-
TV ya Saudia yamtimua mtangazaji wa Palestina kwa kutangaza mshikamano na Wayemen
Jan 14, 2020 01:00Televisheni ya Saudi Arabia imemsimamisha kazi mtangazaji wake baada ya kubainika kwamba, amekuwa akituma ujumbe katika mtandao wa kijamii wa Twitter akitangza mshikamano wake na Wayemen na kulaani mashambulizi yanayofanywa na utawala wa Riyadh dhidi ya raia wasio na hatia wa Yemen.
-
Misimamo ya kugongana ya Washington kuhusu sababu za kumuua kigaidi Luteni Soleimani
Jan 14, 2020 00:58Tarehe 3 Januari 2020, Marekani ilifanya jinai na ugaidi mkubwa wa kumuua kidhulma Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu tena akiwa mgeni rasmi wa serikali ya Iraq.
-
Trump na madai ya kizandiki ya kuwaunga mkono wananchi wa Iran
Jan 13, 2020 04:27Ijapokuwa tangu Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yalipopata ushindi mwaka 1979 Marekani siku zote imekuwa ikiamiliana kiuadui na kiuhasama na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, lakini Donald Trump, rais afriti aliyeko madarakani hivi sasa nchini humo, yeye ametia fora na kufurutu mpaka, kwa uadui ambao haujawahi kushuhudiwa, anaoifanyia Iran na wananchi wake.
-
Jenerali apaa na kukumbatiwa na Malaika
Jan 12, 2020 08:48مِنَ الْمُؤْمِنِینَ رِجَالٌ صَدَقُوا مَا عَاهَدُوا اللَّهَ عَلَیْهِ فَمِنْهُمْ مَنْ قَضَى نَحْبَهُ وَمِنْهُمْ مَنْ یَنْتَظِرُ وَمَا بَدَّلُوا تَبْدِیلًا
-
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran; muendelezo wa sera za mashinikizo ya juu kabisa
Jan 11, 2020 04:43Katika zama za utawala wa Rais Donald Trump, serikali ya Marekani imekuwa ikifuatilia sera za mashinikizo ya juu kabisa dhidi ya Iran na katika fremu hiyo mnamo Mei 8 2018, Washington ilitangaza kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA na baada ya hapo ikaweka vikwazo shadidi zaidi dhidi ya Iran. Pamoja na kuwa vikwazo hivyo havijafikia malengo yaliyokusudiwa, Marekani inasisitiza kuendeleza sera yake ya kushadidisha vikwazo.
-
Kupinga Russia na China taarifa ya upande mmoja ya Marekani kuhusiana na matukio ya Iraq
Jan 07, 2020 23:17Jinai za Marekani huko Iraq hususan shambulio lake la kijeshi dhidi ya ngome za Harakati ya Wananchi ya al-Hashd al-Shaabi katika mpaka wa pamoja wa Iraq na Syria, zimekabiliwa na malalamiko makubwa ya Wairaqi ambao walifanya maandamano na kukusanyika katika ubalozi wa Marekani mjini Baghdad.