Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mauaji

  • Watu 30 wauawa katika mripuko wa bomu nchini Nigeria

    Watu 30 wauawa katika mripuko wa bomu nchini Nigeria

    Jan 07, 2020 04:36

    Kwa akali watu 30 wameuawa huku makumi ya wengine wakijeruhiwa katika mripuko wa bomu uliotokea karibu na daraja lenye shughuli nyingi katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa Nigeria.

  • Vitisho vipya vya Trump kutokana na wahka wa ulipizaji kisasi wa Iran

    Vitisho vipya vya Trump kutokana na wahka wa ulipizaji kisasi wa Iran

    Jan 05, 2020 23:13

    Hatua ya kijinai na iliyo kinyume cha sheria ya Marekani ya kumuua shahidi Jenerali Qassem Soleimani na Abu Mahdi al Muhandis Naibu Mkuu wa Harakati ya Hashdu sh-Sha'abi ya Iraq pamoja na shakhsia wengine huko mjini Baghdad, imekabiliwa na radiamali kali kutoka kwa Iran ambayo imesisitizia kulipiza kisasi kikali kwa Marekani.

  • Ukosoaji wa Russia dhidi ya njama za Marekani za kubadili mlingano wa nguvu Asia Magharibi na kuongeza vitisho vya usalama kimataifa

    Ukosoaji wa Russia dhidi ya njama za Marekani za kubadili mlingano wa nguvu Asia Magharibi na kuongeza vitisho vya usalama kimataifa

    Jan 05, 2020 09:51

    Hatua za Marekani katika eneo la Asia Magharibi hususan za kuzidisha uwepo wake kijeshi, mashinikizo dhidi ya Iran na hatimaye kutekeleza hatua za kigaidi hasa za kumuua shahidi Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la IRGC, Naibu Mkuu wa Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Shaabi, Abu Mahdi al Muhandes na shakhsia wengine walioambatana nao, zimekabiliwa na radiamali kali kutoka kwa Russia kama mmoja wa wacheza karata muhimu katika eneo hili.

  • Kutapatapa viongozi wa Marekani ili kuhalalisha jinai yao ya kumuua shahidi kamanda Soleimani

    Kutapatapa viongozi wa Marekani ili kuhalalisha jinai yao ya kumuua shahidi kamanda Soleimani

    Jan 04, 2020 08:13

    Viongozi wa ngazi ya juu wa Marekani wamedhihirisha misimamo ya kukinzana katika juhudi za kuhalalisha jinai yao ya kumuua kigaidi Kamanda Qassem Soleimani baada ya kudai kuwa eti hawataki vita na Iran.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel: Tutaendeleza mauaji ya kigaidi huko Gaza

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel: Tutaendeleza mauaji ya kigaidi huko Gaza

    Dec 26, 2019 22:52

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Utawala wa Kizayuni wa Israel amesema kuwa, utawala huo utaanza tena kutekeleza mauaji ya kigaidi dhidi ya wanamapambano wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza.

  • 30 wauawa na kujeruhiwa katika mapigano ya kikabila Nigeria

    30 wauawa na kujeruhiwa katika mapigano ya kikabila Nigeria

    Dec 20, 2019 23:14

    Kwa akali watu 12 wameuawa kwenye mapigano baina ya makabila mawili katika jimbo la Cross River kusini mwa Nigeria mpakani na Cameroon.

  • UN yatuma wanajeshi katika eneo lililokumbwa na mapigano ya kikabila Sudan Kusini

    UN yatuma wanajeshi katika eneo lililokumbwa na mapigano ya kikabila Sudan Kusini

    Dec 03, 2019 23:31

    Umoja wa Mataifa umetuma kikosi cha askari wake wa kulinda amani katika eneo la katikati mwa Sudan Kusini ambako watu karibu 80 wameuawa katika mapigano ya kikabila.

  • Wanamgambo wa ADF washambulia kijiji na kuua watu kadhaa Kongo DR

    Wanamgambo wa ADF washambulia kijiji na kuua watu kadhaa Kongo DR

    Nov 16, 2019 03:04

    Genge moja la wanamgambo limeshambulia kijiji kimoja na kuua watu sita wa familia moja mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Watu 3 wauawa katika shambulio la mtutu wa bunduki Bujumbura, Burundi

    Watu 3 wauawa katika shambulio la mtutu wa bunduki Bujumbura, Burundi

    Nov 02, 2019 09:24

    Watu waliojizatiti kwa silaha huku wakiwa wamevalia magwanda ya jeshi na polisi wameshambulia klabu moja ya burudani na kuua watu watatu katika mji mkuu wa zamani wa Burundi, Bujumbura.

  • HRW: Askari wa Afghanistan waliopewa mafunzo na CIA wanafanya jinai za kivita

    HRW: Askari wa Afghanistan waliopewa mafunzo na CIA wanafanya jinai za kivita

    Oct 31, 2019 08:01

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeripoti kuwa, kikosi cha askari wa Afghanistan kilichopewa mafunzo na kufadhiliwa na shirika la ujasusi la Marekani CIA kimefanya uhalifu wa kivita kutokana na mbinu zao za kuvamia makazi ya raia nyakati za usiku, kupoteza watu, kushambulia vituo vya afya na kuua raia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS