-
UN yataka kufunguliwa kesi ya jinai zinazofanywa dhidi ya Waislamu Myanmar
Oct 24, 2019 23:21Maafisa wawili wa Umoja wa Mataifa wametoa wito wa kufunguliwa kesi katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ili kushughulikia jinai zinazofanywa na jeshi la Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya katika jimbo la Rakhine nchini humo.
-
Maiti 39 zapatikana ndani ya lori kusini mwa Uingereza, dereva akamatwa
Oct 23, 2019 23:19Miili 39 imepatikana ndani ya lori lililokuwa limeegeshwa katika eneo la Grey, jijini Essex, mashariki mwa London, kusini mashariki mwa Uingereza.
-
Polisi ya Marekani yaendeleza ukatili dhidi ya Wamarekani weusi
Oct 14, 2019 04:49Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa mauaji ya kibaguzi yanayofanywa na askari polisi wa Marekani dhidi ya raia wa nchi hiyo wenye asili ya Afrika, mwanamke mweusi nchini humo ameuawa kwa kupigwa risasi na polisi kupitia dirisha la chumbani kwake mapema Jumamosi
-
Shambulizi dhidi ya msikiti laua watu 15 Burkina Faso
Oct 13, 2019 04:28Kwa akali watu 15 wameuawa baada ya watu waliobeba silaha kushambulia msikiti mmoja kaskazini mwa Burkina Faso.
-
20 wauawa katika shambulizi dhidi ya mgodi wa dhahabu Burkina Faso
Oct 06, 2019 04:39Kwa akali watu 20 wameuawa baada ya watu waliobeba silaha kushambulia mgodi wa dhahabu kaskazini mwa Burkina Faso.
-
Watu 8 wauwa karibu na mbuga ya wanyama nchini Rwanda
Oct 05, 2019 10:59Watu wanane wameuawa katika shambulizi la watu waliobeba silaha karibu na mbuga ya wanyama ya Volcanoes kaskazini mwa Rwanda.
-
30 wapoteza maisha katika maporomoko ya udongo mgodini Chad
Sep 26, 2019 23:09Makumi ya wachimba migodi wamefariki dunia baada ya kuporomokewa na udongo kwenye mgodi haramu wa dhahabu nchini Chad.
-
Zarif: Wayemen wamelenga kiwanda cha kusafirisha mafuta Saudia na si hospitali wala shule
Sep 22, 2019 23:54Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa msimamo wa Marekani kuhusiana na mashambulizi yaliyofanywa na wapiganaji wa harakati ya Ansarullah nchini Yemen dhidi ya taasisi za mafuta za Saudi Arabia na kusisitiza kuwa, Wayemeni wamefanya mashambulizi hayo ya ndege zisizo na rubani kulipiza kisasi cha mashambulizi ya zaidi ya miaka mine sasa ya Riyadh ambayo yameua mauaji ya mamia ya maelfu ya raia wasio na hatia.
-
Maduro afichua mpango wa Marekani na Colombia wa kutaka kumuuwa
Sep 22, 2019 23:17Rais wa Venezuela amefichua mpango wa kutaka kumuuwa unaofanywa kwa siri na rais wa zamani wa Colombia kwa kushirikiana na Marekani.
-
Somalia yavunja majaribio mawili ya kutaka kumuua Waziri Mkuu wa nchi hiyo
Sep 15, 2019 07:57Waziri Mkuu wa Somalia ameokoka katika majaribio mawili ya kutaka kumuua, majaribio ambayo genge la kigaidi la al Shabab limetangaza kuhusika nayo.