-
Mustakbali uliogubikwa na kiza wa Syria; wafuasi wa al Julani wazidi kuua raia
Mar 14, 2025 08:15Shirika la kutetea haki za binadamu nchini Syria limeripoti habari ya kuuawa zaidi ya raia 1,383 wasio na hatia katika shambulio lililofanywa na magenge yenye mfungamano na watawala wa hivi sasa wa Syria kwenye maeneo ya Waislamu wa Kishia, magharibi mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Maandamano dhidi ya al Jolani yaanza Syria
Dec 22, 2024 07:54Duru za habari zimeripoti kuwa kutekwa nyara raia wa Syria katika mkoa wa Halab nchini humo kumezushha cheche za awali za maandamano na malalamiko dhidi ya Muhammad al Jolani kamanda wa kundi la upinzani lenye silaha la Hay'at Tahrir al Sham(HTS).
-
Marekani kupitisha muswada wa kuziadhibu nchi zinazorejesha uhusiano wao na Syria
May 13, 2023 02:45Kundi la wabunge wa Marekani kutoka vyama vyote viwili vya Democratic na Republican limewasilisha muswada ambao utaizuia Marekani kurejesha uhusiano wa kidiplomasia na serikali ya Rais Bashar al-Assad wa Syria na kuziwekea vikwazo nchi za kikanda zinazorejesha uhusiano wao na Damascus, huku Washington ikionyesha kukasirishwa na hatua ya kuirejesha tena Syria tena katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu.
-
Morocco yasisitiza kuunga mkono kadhia ya Palestina
Mar 18, 2023 13:30Serikali ya Morocco imetangaza kuwa, inaunga mkono na kuipa umuhimu kadhia ya Palestina na kwamba, inalitazama syuala hilo kama moja ya mambo muhimu katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
Serikali ya Jordan yaanzisha mpango wa kusaidia kupunguza mgogoro wa Syria
Mar 29, 2021 04:24Serikali ya Jordan imesema kuwa imeanza kutekeleza mpango wake mwaka huu wa 2021 kwa ajili ya kusaidia kupunguza mgogoro wa Syria wenye thamani ya dola bilioni 2.4.
-
Russia yatahadharisha kuhusu hatua mbaya za Marekani huko Syria
Oct 06, 2020 07:26Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Russia ametahadharisha kuhusu maafa ya mienendo ya Marekani na Wakurdi wa Syria na kusisitiza ulazima wa kuzuia hatua yoyote inayotaka kuigawa ardhi ya nchi hiyo.
-
Misri yataka vita dhidi ya magaidi nchini Syria viongezewe kasi
Oct 05, 2020 08:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri amefanya mazungumzo na mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa na kutilia mkazo udharura wa kupambana vilivyo na kikamilifu na magenge ya kigaidi nchini Syria.
-
Jinai za Daesh zaongezeka katika maeneo yanayodhibitiwa na Marekani na washirika wake, mpaka wa Iraq na Syria
Aug 04, 2020 06:48Kituo kinachojiita Wasimamizi wa Haki za Binadamu nchini Syria kimetangaza kuwa kumeshuhudiwa ongezeko la uhalifu na jinai za kundi la Daesh katika maeneo yanayodhibitiwa na muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani karibu na mpaka wa Syria na Iraq.
-
Tathmini ya utendaji wa jeshi la Syria katika kupambana na ugaidi kwa mnasaba wa kuadhimisha siku ya kuasisiwa kwake
Aug 02, 2020 06:36Kwa mnasaba wa kutimia mwaka wa 75 wa kuasisiwa jeshi la Syria, Rais Bashar al Assad amelisifu na kulipongeza jeshi hilo kwa mchango wake katika vipindi tofauti vya vita dhidi ya ugaidi na kuendelea kwake kuwalinda watu wa nchi hiyo.
-
Uturuki yavamia tena ardhi ya Syria, mara hii msafara wa malori 70 ya kijeshi waingia mkoani Idlib
Jul 10, 2020 02:24Misafara mitatu ya jeshi la Uturuki ya malori yaliyosheheni zana za kijeshi imevuka mpaka wa mkoa wa Idlib kaskazini magharibi mwa Syria na kuingia ndani ya ardhi ya nchi hiyo.