-
Wafaransa wawafundisha magaidi namna ya kutumia silaha za kemikali nchini Syria
Nov 22, 2018 14:45Shirika la habari la Sputnik limenukuu duru moja ya kuaminika ikisema kuwa wataalamu wa kemikali wa Ufaransa wanawafundisha magaidi mbinu za kutumia silaha za kemikali nchini Syria.
-
Russia: Wakimbizi 270,000 wa Syria wamerejea nyumbani
Nov 16, 2018 14:53Jeshi la Russia limetangaza habari ya kurejea nyumbani wakimbizi zaidi ya laki mbili na 70 elfu wa Syria ndani ya miezi michache iliyopita.
-
Rais Assad wa Syria: Kipaumbele cha kwanza cha serikali ni kuwakomboa mateka
Nov 15, 2018 03:31Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema, kipaumbele cha kwanza cha serikali ya nchi hiyo ni kuwakomboa mateka wote waliotekwa nyara na magaidi.
-
Magaidi wahamishia shehena ya mada za kemikali katika mkoa wa Idlib Syria
Oct 21, 2018 14:14Kundi la kigaidi la Tahrir al Sham limehamishia katika eneo la Jasr al Shughur mkoani Idlib huko Syria shehena ya mada za kemikali zenye gesi za Chlorine na Sarine.
-
Saudia na Imarati zinaongoza kwa kununua vifaa vya kijasusi vya Israel
Oct 21, 2018 02:37Gazeti la Kizayuni la Haaretz limefichua kuwa, Bahrain, Imarati (UAE) na Saudi Arabia zina mikataba mikubwa sana ya kununua vifaa vya kijasusi kutoka kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Rais wa Syria: Ushindi wa Idlib utasambaratisha mpango wa "Muamala wa Karne"
Oct 08, 2018 07:44Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuhusiana na makelele yanayofanywa na madola ya Magharibi kabla ya kuanza operesheni ya kuukomboa mkoa wa Idlib, kwamba kukombolewa mkoa huo kutafelisha mipango ya Marekani katika Mashariki ya Kati.
-
Walid al Mualim: Kuwepo washauri wa Kiirani Syria ni kwa mujibu wa sheria
Sep 30, 2018 14:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesisitiza kuwa washauri wa kijeshi wa Iran wapo nchini humo kwa mujibu wa sheria kinyume na Marekani ambayo iko kijeshi nchini humo kinyume cha sheria.
-
Marekani imewatorosha viongozi wa DAESH (ISIS) eneo la Deir ez-Zor, Syria
Sep 23, 2018 02:41Duru za kuaminika za Syria zimetangaza kuwa muungano wa kijeshi wa kimataifa unaoongozwa na Marekani wa eti kupambana na DAESH (ISIS) umewatorosha viongozi kadhaa wa kundi hilo la kigaidi na ukufurishaji katika eneo la Deir ez-Zor mashariki mwa Syria.
-
NATO yapeleka manowari za kijeshi katika fukwe za Syria
Sep 17, 2018 15:26Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) limepeleka manowari kadhaa katika fukwe za Syria, suala ambalo ni ishara ya wazi ya uungaji mkono wa nchi za Magharibi kwa magaidi wanaofanya jinai na mauaji dhidi ya raia na maafisa wa serikali ya Syria.
-
Seneta wa Marekani afichua mpango wa Uingereza wa kufanya shambulio la kemikali Syria
Sep 10, 2018 14:52Seneta mmoja wa Marekani amefichua mpango ulioratibiwa na Uingereza kwa ajili ya kufanya shambulio bandia la silaha za kemikali huko Syria.