Apr 13, 2018 20:26
As-Salamu Alaykum wapenzi wasikilizaji, na karibuni kujumuika nami katika dakika hizi chache za kipindi kingine cha makala ya wiki, ambacho hii leo kitazungunmzia malengo ya kubaathiwa Mtukufu Mtume Muhammad (SAW) kwa mtazamo wa Imam Khomein (MA), karibuni.