-
Kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuuawa shahidi Imam Musa al Kadhim AS
Apr 11, 2018 16:30Bismillahir Rahmanir Rahim. Leo wasikilizaji wapenzi tumekuandalieni kipindi maalumu kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuuawa shahidi Imam Musa al Kadhim, Imam wa Saba katika silisila ya Maimamu wa kizazi kitoharifu cha Bw. Mtume Muhammad SAW. Leo tutatoa sira na historia fupi ya mtukufu huyo tukiwa na matumaini mtanufaika vya kutosha na Makala hii fupi tuliyokuandalieni kwa mnasaba huu. Karibuni.
-
Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Imam Ali AS
Mar 30, 2018 16:15Bismillahir Rahmanir Rahim. Karibuni wasikilizaji wapenzi katika kipindi hiki maalumu ambacho tumekuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam Ali bin Abi Talib AS. Siku hii kwa hapa nchini Iran inajulikana pia kwa jina la Siku ya Baba.
-
Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Imam Jawad AS
Mar 27, 2018 18:16Siku ya Kumi ya Mwezi wa Rajab inasadifiana na siku ya kuzaliwa Imam Jawad AS. Mwaka 195 Hijria Qamaria katika siku kama hii Imam Mohammad Taqi AS ambaye ni mashuhuri kwa lakabu ya Jawad kwa maana ya mkarimu, alizaliwa katika mji wa Madina. Ni Imamu wa Tisa katika kizazi cha Maimamu 12 kutoka katika Nyumba ya Mtume SAW .
-
Kwa mnasaba wa siku ya kuuawa shahidi Imam Hadi AS
Mar 20, 2018 21:57Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka tukio chungu la kuuawa shahidi Imam Ali al Hadi ambaye alikuwa miongoni mwa wajukuu wa Mtume wetu Muhammad (SAW).
-
Kumbukumbu ya kufa shahidi Bibi Fatima Zahra AS
Feb 19, 2018 15:28Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika kipindi hiki maalumu nilichokuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyokufa shahidi Bibi Fatima Zahra (a.s) binti mtukufu wa Bwana Mtume (s.a.w) na mwanamke bora duniani na akhera, mwanamke ambaye ni kigezo na ruwaza njema. Amani iwe juu yako Ewe Fatma Zahra mwanamke bora wa duniani na Akhera, Bibi wa wanawake wa peponi, Mtukufu as-Sidiqah at-Tahirah Fatimatuz Zahra (Salaamullahi Alayha).
-
Kumbukumbu ya Kuzaliwa Bibi Zaynab al Kubra AS
Jan 23, 2018 08:13Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika kipindi hiki maalumu nilichokuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyozaliwa Bibi Zaynab al-Kubra (a.s) binti ya Imam Ali bin Abi Talib (a.s); mwanamke ambaye aliondokea kuwa mashuhuri kutokana na fadhila, elimu, subira na ushujaa mkubwa aliokuwa nayo.
-
Imam Ridha AS na risala yake iliyojaa siri za afya
Nov 18, 2017 16:48Leo mji mtakatifu wa Mashhad umetanda huzuni na majonzi katika haram ya Ali bin Musa Ridha AS. Idadi kubwa ya waombolezaji wamefika katika haram hiyo kwa ajili ya kuombleza. Leo ni siku ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam Ali bin Musa Ridha AS ambaye ni kutoka katika kizazi kilichotakasika cha Mtume Muhammad SAW.
-
Kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Ali bin Mussa ar Ridha (AS)
Nov 18, 2017 16:41Assalaam Alaykum. Tuko katika siku ya mwisho ya mwezi wa Safar, siku ambayo ni kumbukumbu ya kukumbuka siku ya kuuawa shahidi Imam Ali bin Mussa Ridha (as) mmoja kati ya watu wa Nyumba tukufu ya Mtume Mtukufu Muhammad (saw).
-
Imam Swadiq AS kigezo chema cha Waislamu
Jul 19, 2017 16:33Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujumuika nami katika kipindi hiki maalumu ambacho leo kitazungumzia maisha ya Imam Jafar Swadiq AS.
-
Ali AS, dhihirisho la dua na kumtaradhia Allah
Jun 15, 2017 13:39Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika makala hii maalumu inayokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka tukio chungu la kuuawa shahidi Imam Ali bin Abi Twalib AS. Ni matumaini yangu kwamba mtaendelea kuwa kando ya redio zenu kusikiliza niliyokuandalieni.