-
Kuongezeka idadi ya watu wanaotumia intaneti duniani mwaka 2023
Dec 28, 2023 06:01Karibuni wasikilizaji wapendwa wa Idhaa ya Kiswahili Redio Tehran katika kipindi chetu cha makala ya wiki ambapo tutatupia jicho ongezeko la watumiaji wa intaneti duniani mwaka 2023.
-
Mazungumzo ya kwanza ya simu baina ya Marais wa Iran na Misri; hatua ya kukuza uhusiano
Dec 24, 2023 04:44Jana Jumamosi, Sayyid Ebrahim Raisi, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alizungumza kwa simu na Rais Abdel Fattah El Sisi wa Misri, ikiwa ni mara ya kwanza kwa marais wa nchi hizi mbili kuzungumza kwa simu na ikiwa ni katika sehemu ya juhudi za kufufua uhusiano wa pande mbili.
-
Marais wa Iran na Misri wahimiza kustawishwa uhusino wa nchi mbili katika nyuga zote
Dec 23, 2023 23:08Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumza kwa simu na rais mwenzake wa Misri na kutilia mkazo udharura wa kustawishwa uhusiano wa nchi hizi mbili katika nyuga tofauti.
-
Leo ni Ijumaa, tarehe 22 Disemba, 2023
Dec 21, 2023 22:59Leo ni Ijumaa tarehe 8 Mfunguo Tisa Jumadithani 1445 Hijria sawa na tarehe 23 Disemba 2023.
-
Misri: Mazungumzo na Bwawa la Renaissance yamefeli
Dec 20, 2023 02:50Misri imetangaza kwamba mazungumzo kuhusu Bwawa la Renaissance nchini Ethiopia yamemalizika bila mafanikio, na imeishutumu Addis Ababa kuwa imekataa masuluhisho yote yaliyopendekezwa kwa ajili ya kutatua mzozo wa ujenzi wa bwawa bilo juu ya maji ya Mto Nile.
-
Jumatatu, 18 Disemba, 2023
Dec 18, 2023 00:54Leo ni Jumatatu tarehe 4 Jamadithani 1445 Hijria sawa na tarehe 18 Disemba 2023.
-
Misri: Israel inazuia misaada ya kibinadamu kuingia Gaza
Nov 14, 2023 09:06Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri imetangaza kuwa nchi hiyo haijafunga kivuko cha Rafah, lakini utawala wa Kizayuni wa Israel unazuia misaada kuingia Gaza.
-
Sheikh Al-Azhar wa Misri asisitiza juu ya ulazima wa kusitishwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina
Nov 11, 2023 02:42Sheikh wa Chuo Kikuu cha Al Azhar cha Misri amesisitiza juu ya ulazima wa kukomeshwa jinai na mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina.
-
Misri yapinga mpango wa kuindoa Hamas mamlakani Gaza
Nov 09, 2023 10:02Serikali ya Misri imeripotiwa kukataa pendekezo la Marekani la kutwaa kwa muda mamlaka katika Ukanda wa Gaza, ikisisitiza kuwa Cairo haitakuwa na nafasi yoyote katika kuondolewa madarakani Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) katika eneo hilo lililozingirwa.
-
Wataalamu wailaumu vikali Misri kwa msimamo dhaifu mbele ya jinai za Israel huko Ghaza
Oct 28, 2023 11:02Wataalamu na wachambuzi mbalimbali wameendelea kutoa lawama kali dhidi ya serikali ya Rais Abdel Fattah el Sisi wa Misri kwa msimamo dhaifu inaoonesha mbele ya jinai za kuchumpa mipaka zinazofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wa Ghaza.