-
Misri: Tuna hamu ya kuwa na uhusiano chanya na Iran
Jul 20, 2023 03:42Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri ameitaja Iran kama nchi kubwa na yenye ushawishi katika eneo na kusisitiza kuwa, maingiliano baina ya nchi mbili hizi hayajawahi kuvunjika.
-
Uturuki na Misri zateua mabalozi na kurejesha kikamilifu uhusiano wao wa kidiplomasia
Jul 04, 2023 10:18Uturuki na Misri zimeteua mabalozi wa pande mbili ili kurejesha rasmi uhusiano wao katika ngazi ya juu ya kidiplomasia.
-
Al Azhar yalaani hujuma ya Wazayuni na kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu
Jun 25, 2023 07:59Taasisi ya al Azhar nchini Misri imelaani vikali kitendo cha walowezi wa Kiyahudi cha kuchoma moto na kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu.
-
Misri yakosoa EU kufuta mkutano baada ya Syria kurejea Arab League
Jun 19, 2023 10:48Misri imekosoa uamuzi wa Umoja wa Ulaya (EU) wa kufuta mkutano uliotazamiwa kufanyika wiki ijayo wa ngazi ya mawaziri baina yake na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, kutokana na Syria kurejeshewa uanachama kwenye taasisi hiyo ya Arab League.
-
Jumapili, tarehe 18 Juni, 2023
Jun 18, 2023 04:24Leo ni Jumapili tarehe 29 Dhulqaada 1444 Hijria sawa na tarehe 18 Juni 2023.
-
Ombi la Misri la kujiunga na BRICS; ishara ya kupunguza uhusiano wake na nchi za Magharibi
Jun 16, 2023 06:33Ikiwa ni katika mwenendo wa nchi za dunia kuvutiwa na miungano pamoja na mashirika yasiyofungamana na Marekani na nchi nyingine za Magharibi, Misri imeomba uanachama katika jumuiya ya BRICS.
-
Misri yatuma maombi ya kujiunga na kundi la BRICS
Jun 15, 2023 02:50Balozi wa Russia nchini Misri amesema kuwa Cairo imetuma maombi rasmi ya kuwa mwanachama katika kundi la BRICS.
-
Al-Ahly ya Misri wafalme wa soka barani Afrika 2023
Jun 12, 2023 08:20Klabu ya Al-Ahly ya Misri imetwaa ubingwa wa Ligi ya Klabu Bingwa Barani Afrika. Mafarao hao wa Misri wametwaa kombe hilo la kibara, licha ya mchuano wa fainali kumalizika kwa sare ya bao 1-1.
-
Al-Ahly ya Misri wafalme wa soka barani Afrika 2023
Jun 12, 2023 08:05Wydad Casablanca ya Morocco na Al Ahly ya Misri siku ya Jumapili waliendeleza vita vyao vya kutafuta mfalme wa klabu za soka barani Afrika, walipokutana katika mkondo wa pili wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika ya CAF uliopigwa kwenye Uwanja wa Stade Mohamed V mjini Casablanca.
-
Wanasiasa wa Misri wakaribisha kustawishwa uhusiano wa Tehran na Cairo
May 31, 2023 06:53Wanasiasa na viongozi wa Misri wamekaribisha kwa mikono miwili juhudi za kuhuishwa na kurejeshwa uhusiano wa Iran na Misri.