-
Sudan yataka mzozo wa Bwawa la al-Nahdha ujadiliwe na marais wa nchi husika
Aug 30, 2020 07:29Serikali ya Khartoum imetoa mwito wa kujadiliwa mzozo wa Bwawa la al-Nahdha na marais wa Sudan, Misri na Ethiopia.
-
Bunge la Ugiriki laafiki mapatano ya baharini yaliyofikiwa kati ya nchi hiyo na Misri
Aug 28, 2020 02:59Bunge la Ugiriki hatimaye limepasisha mapatano yaliyofikiwa kati ya nchi hiyo na Misri ya kuianisha mipaka ya baharini.
-
Amnesty: Misri inawanyima wafungwa haki zao kwa miaka kadhaa sasa
Aug 20, 2020 19:37Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeitaka serikali ya Misri kuziruhusu familia za wafungwa kutembea jamaa zao wanaoshikiliwa katika jela za nchi hiyo wakiwemo watetezi wa haki za binadamu na wanaharakati wa masuala ya kisiasa.
-
Ikhwanul Muslimin yalaani mapatano ya Imarati ya Israel, yasema ni usaliti dhidi ya al Aqsa
Aug 18, 2020 21:57Harakati ya Ikhwanul Muslimin ya Misri imelaani hatua ya Imarati ya kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel.
-
Mazungumzo ya viongozi wa Sudan na Misri kuhusu Bwawa la An-Nahdhah
Aug 16, 2020 03:15Waziri Mkuu wa Misri Mostafa Madbouli amefanya mazungumzo na mwenzake wa Sudan Abdalla Hamdok kuhusiana na Bwawa la An-Nahdhah au Grand Renaissance Dam (GERD) lililojengwa na Ethiopia.
-
Amnesty International yataka kufanyike uchunguzi kuhusu kifo cha al Aryan
Aug 14, 2020 08:34Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeitaka serikali ya Misri ifanye uchunguzi kuhusu mazingira ya kutatanisha yanayohusiana na kifo cha mmoja wa viongozi wa harakati ya Ikhwanul Muslimin akishikiliwa katika jela ya Tora mjini Cairo.
-
Kiongozi wa Ikhwanul Muslimin afia jela Misri baada ya kunyimwa huduma za matibabu
Aug 13, 2020 22:26Mmoja kati ya viongozi wa harakati kubwa zaidi ya upinzani dhidi ya serikali ya Misri ya Ikhwanul Muslimin ameaga dunia kiwa jela kutokana na matatizo ya moyo.
-
Ethiopia yaionya Misri kuhusu mpango wake wa kuanzisha kituo cha kijeshi Afrika Mashariki
Aug 13, 2020 09:39Ethiopia imetoa onyo kuhusu uamuzi iliochukua Misri wa kutaka kuanzisha kituo cha kijeshi katika eneo la Afrika Mashariki.
-
Kuendelea mgogoro wa Bwawa la al-Nahdha; kukataa Sudan kurejea katika mazungumzo
Aug 11, 2020 05:20Mgogoro kuhusiana na Bwawa la al-Nahdha ungali unaendelea na katika hali ambayo, Ethiopia imetekeleza hatua ya awali ya ujazaji maji katika bwawa hilo, Sudan na Misri zimekataa kuendelea na mazungumzo ya pande tatu kwa ajili ya kufikia makubaliano na serikali ya Addis Ababa.
-
Sudan yakataa pendekezo la Ethiopia kuhusu Bwawa la al-Nahdha
Aug 06, 2020 00:00Wizara ya Umwagiliaji ya Sudan imesema, nchi hiyo haijakubali pendekezo la Ethiopia kuhusu kujaza maji na kutumia Bwawa la al-Nahdha (GERD).