-
Misri yarefusha muda wa hali ya hatari kwa miezi 3 mingine
Jul 22, 2019 06:59Rais Abdul-Fattah al-Sisi wa Misri ametangaza kuongeza muda wa hali ya hatari nchini humo kwa kipindi cha miezi mitatu mingine.
-
Makumi ya magaidi waangamizwa na jeshi la Misri eneo la Sinai
Jul 20, 2019 07:24Jeshi la Misri limetangaza kuwa limeua magaidi 20 katika operesheni ya vikosi vya usalama vya nchi hiyo kwenye mkoa wa Sinai Kaskazini.
-
Mwanasiasa nchini Misri: Nchi za Kiarabu zifanye mazungumzo na Iran na Uturuki
Jul 13, 2019 07:13Mwanadiplomasia na mgombea wa zamani wa uchaguzi wa rais nchini Misri, Abdullah al-Ashaal amezitaka nchi za Kiarabu zifanye mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki.
-
Misri kuwauzia wageni uraia wa nchi hiyo kwa dola elfu kumi
Jul 08, 2019 11:27Bunge la Misri limekubaliana na mpango wa serikali ya nchi hiyo kwa kuwauzia uraia wageni kwa dola elfu kumi za Kimarekani licha ya baadhi ya wabunge kupinga suala hilo.
-
Jumatano, tarehe 3 Julai, 2019
Jul 03, 2019 02:16Leo ni Jumatano tarehe 29 Shawwal 1440 Hijria sawa na Julai 3 mwaka 2019.
-
Ikhwanul Muslimin ya Misri yatangaza mikakati mipya baada ya kifo cha Morsi
Jul 01, 2019 01:30Kundi la Ikhwanul Muslimin la Misri limetangaza mikakati yake mipya baada ya kufariki dunia Mohammad Morsi, mwanachama mwandamizi wa kundi hilo ambaye alikuwa rais wa kwanza wa Misri kuwahi kuchaguliwa kidemokrasia.
-
Mwana wa Morsi ahadithia alivyopewa maiti ya baba yake, asisitiza ameuawa
Jun 25, 2019 02:30Abdullah Morsi mwana wa kiume wa aliyekuwa rais wa Misri Muhammad Morsi aliyefariki dunia siku chache zilizopita akiwa kizimbani kusikiliza kesi iliyokuwa ikimkabili amehadithia jinsi alivyokabidhiwa mwili wa baba yake na jinsi alivyoaga dunia.
-
Misri: Rais Tayyip Erdoğan ana uhusiano na kundi la Ikhwanul Muslimin
Jun 21, 2019 08:02Serikali ya Misri kupitia Waziri wake wa Mambo ya Nje imemtuhumu Rais Tayyip Erdoğan wa Uturuki kuwa ana uhusiano na kundi la Ikhwanul Muslimin.
-
UN yataka Misri ifanye uchunguzi huru wa kifo cha Morsi
Jun 19, 2019 02:40Ofisi ya Kamishna mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa imesema ni matumaini yake kuwa uchunguzi huru na wa kina utafanyika juu ya mazingira ya kifo cha rais wa zamani wa Misri, Mohamed Morsi kilichotokea jana wakati akiwa mahakamani.
-
Iran yatoa mkono wa pole kwa taifa la Misri kufuatia kifo cha Mohammad Morsi
Jun 18, 2019 12:28Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa mkono wa pole kwa familia ya Mohammed Morsi, kufuatia kifo tata cha rais huyo wa zamani wa Misri.