-
Jeshi la Misri lawaangamiza magaidi 16 katika eneo la Sinai
Feb 11, 2018 12:14Jeshi la Misri limetangaza kuwa, limewaua magaidi 16 kufuatia operesheni ya kijeshi katika eneo la Sinai.
-
Amnesty yakosoa ukandamizaji wa serikali ya Misri dhidi ya wapinzani
Feb 10, 2018 13:03Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limekosoa ukandamizaji unaofanywa na maafisa wa serikali ya Misri dhidi ya wapinzani wa serikali ya nchi hiyo.
-
Ikhwani yakanusha kufanya mazungumzo na serikali ya el Sisi, Misri
Feb 09, 2018 00:48Harakati ya Ikhwanul Muslimin ya Misri imekanusha madai kwamba, viongozi wake wamefanya mazungumzo na serikali ya nchi hiyo.
-
Safari yenye malengo ya uchaguzi ya Rais wa Misri nchini Imarati
Feb 08, 2018 04:23Rais Abdul-Fatah al-Sisi wa Misri Jumanne ya juzi aliwasili Abu Dhabi katika mji mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) baada ya kukamilisha safari yake ya siku tatu huko Oman.
-
Mwana wa mpinzani mkuu wa el Sisi katika uchaguzi ujao Misri, atiwa mbaroni
Feb 08, 2018 03:41Mwana wa mkuu wa zamani wa jeshi la Misri ambaye ni mpinzani mkuu wa Rais Abdel Fattah el Sisi katika uchaguzi ujao wa rais ametiwa mbaroni wiki moja tu tangu alipoweka kizuizini baba yake.
-
Mvutano katika uhusiano wa Misri na Uturuki
Feb 07, 2018 11:19Uhusiano wa Misri na Uturuki umeharibika kuhusiana na suala la uchoraji mipaka katika Bahari ya Mediterania.
-
Iran na Misri kuimarisha ushirikiano wao wa mabunge
Feb 06, 2018 03:46Hossein Amir-Abdollahian, msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesisitizia umuhimu wa kuimarishwa uhusiano wa mabunge ya nchi hii na Misri.
-
Safari ya Rais wa Misri nchini Oman, Sultan Qaboos kwa mara nyingine ni mpatanishi
Feb 05, 2018 09:58Rais Abdul Fattah el Sisi wa Misri ametembelea Oman na kukutana na kiongozi wa nchi hiyo, Sultan Qaboos.
-
Rais wa Misri akosolewa vikali kufuatia kufichuliwa ushirikiano wake wa siri na utawala wa Kizayuni
Feb 05, 2018 04:19Rais wa Misri amekabiliwa na ukosoaji mkubwa kufuatia kufichuliwa ushirikiano wa siri kati ya serikali yake na utawala wa Kizayuni.
-
Watu watatu wauawa, 6 wajeruhiwa kaskazini mwa Misri
Feb 04, 2018 13:02Duru za Misri zimetangaza kuwa, watu watatu wameuawa na wengine 6 kujeruhiwa katika tukio la karibuni kabisa la kushambuliwa polisi wa Misri, kusini mwa al Arish, makao makuu ya jimbo la Sinai Kaskazini, nchini Misri.