Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Misri

  • Kumi wauawa katika hujuma ya kigaidi dhidi ya kanisa, Cairo

    Kumi wauawa katika hujuma ya kigaidi dhidi ya kanisa, Cairo

    Dec 29, 2017 13:14

    Wizara ya Afya ya Misri imetangaza kuwa, watu 10 wakiwemo askari kadhaa wa usalama wameuawa katika hujuma ya watu waliokuwa na silaha iliyolenga kanisa moja katika eneo la Halwan kusini mwa jiji la Cairo.

  • Askari 6 wa Misri wauawa katika shambulizi la bomu eneo la Sinai

    Askari 6 wa Misri wauawa katika shambulizi la bomu eneo la Sinai

    Dec 29, 2017 04:31

    Wanajeshi sita wa Misri wameuawa katika shambulizi la bomu lililotokea jana Alkhamisi katika eneo linalokumbwa na misukosuko la Rasi ya Sinai, kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Radiamali ya Cairo kwa hatua ya Uturuki ya kukurubia mipaka ya Misri

    Radiamali ya Cairo kwa hatua ya Uturuki ya kukurubia mipaka ya Misri

    Dec 29, 2017 01:00

    Afisa wa zamani katika jeshi la Misri amesema kuwa Cairo iko tayari kujibu tishio kuhusu hatua ya Sudan ya kuipatia Uturuki kisiwa cha Suakin.

  • Watetezi wa haki za binadamu Misri walaani kunyongwa washukiwa wa ugaidi

    Watetezi wa haki za binadamu Misri walaani kunyongwa washukiwa wa ugaidi

    Dec 28, 2017 04:20

    Mashirika saba ya kutetea haki za binadamu nchini Misri yamekosoa vikali hatua ya Misri kuwanyonga watu 15 waliopatikana na hatia ya kufanya mashambulizi ya kigaidi yaliyoua askari usalama huko kaskazini mwa Peninsula ya Sinai.

  • George Weah ashinda urais Liberia, amshukuru Arsene Wenger, Jacob Zuma ampongeza

    George Weah ashinda urais Liberia, amshukuru Arsene Wenger, Jacob Zuma ampongeza

    Dec 27, 2017 12:23

    Bingwa wa zamani wa dunia wa mpira wa miguu, George Weah ameshinda katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais wa nchi ya magharibi mwa Afrika ya Liberia kwa kukomba kaunti 12 kati ya 15 za nchi hiyo zilizopiga kura.

  • Mgogoro wa Sudan na Misri wapanuka zaidi

    Mgogoro wa Sudan na Misri wapanuka zaidi

    Dec 26, 2017 23:14

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Sudan imeuandikia barua ya wazi Umoja wa Mataifa ikitangaza upinzani wake dhidi ya kile kilichotajwa kuwa ni makubaliano ya kuainisha mipaka ya nchi kavu kati ya Saudi Arabia na Misri.

  • Misri yawanyonga magaidi 15 walioua askari usalama Sinai

    Misri yawanyonga magaidi 15 walioua askari usalama Sinai

    Dec 26, 2017 11:50

    Misri imewanyonga watu 15 waliopatikana na hatua ya kufanya mashambulizi ya kigaidi yaliyoua askari usalama huko kaskazini mwa Peninsula ya Sinai.

  • Kuwapokonya uraia wapinzani, silaha mpya inayotumiwa na serikali ya Abdel Fattah el Sisi nchini Misri

    Kuwapokonya uraia wapinzani, silaha mpya inayotumiwa na serikali ya Abdel Fattah el Sisi nchini Misri

    Dec 24, 2017 23:16

    Serikali ya Rais Abdel Fattah el Sisi ya Misri imeamua kutumia silaha ya kuwavua uraia wapinzani wake katika wakati huu wa kukaribia uchaguzi wa rais nchini humo wa mwaka 2018.

  • Sudan: Hatutaitambua mipaka mipya ya majini iliyowekwa na Misri na Saudia

    Sudan: Hatutaitambua mipaka mipya ya majini iliyowekwa na Misri na Saudia

    Dec 21, 2017 12:47

    Sudan imewasilisha taarifa kwa Umoja wa Mataifa ikieleza kwamba endapo mipaka mipya ya majini iliyowekwa na Misri na Saudi Arabia itapitishwa rasmi haitoitambua katu mipaka hiyo.

  •  Fayez al Sarraj aitolea wito Algeria kushiriki katika mazungumzo ya kitaifa ya Libya

    Fayez al Sarraj aitolea wito Algeria kushiriki katika mazungumzo ya kitaifa ya Libya

    Dec 18, 2017 11:00

    Waziri Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya ameitaka Algeria ishiriki pakubwa katika kusogeza mbele mazungumzo ya kusaka amani ya nchi yake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS