-
Jumatatu tarehe 18 Disemba 2017
Dec 18, 2017 01:14Leo ni Jumatatu tarehe 29 Rabiul Awwal 1439 Hijria sawa na tarehe 18 Disemba 2017.
-
Sisisitizo la Ufaransa na Misri la kuimarisha uhusiano wao wa kijeshi
Dec 17, 2017 08:57Paris na Cairo zimesisitizia azma yao ya kuimarisha ushirikiano baina yao katika nyuga tofauti za kijeshi na kiusalama.
-
Al Azhar yataka kufanyika mkutano wa kimataifa kujadili suala la Quds
Dec 10, 2017 10:57Sheikh Mkuu wa al Azhar ya Misri ametahadharisha kuhusu taathira za uamuzi wa Trump wa kuutambua rasmi mji mtakatifu wa Quds kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni na kutaka kufanyika mkutano wa kimataifa wa kujadili suala hilo.
-
Mkuu wa Wakristo wa Misri akataa kuonana na Naibu wa Trump
Dec 09, 2017 23:25Mkuu wa Wakristo wa Qibti nchini Misri amekataa kuonana na Makamu wa Rais wa Marekani, Mike Pence, kutokana na Donald Trump kuitangaza Baytul Muqaddas kuwa eti ni mji mkuu wa Israel.
-
Sheikh Mkuu wa Azhar afuta mkutano na Makamu wa Rais wa Marekani
Dec 09, 2017 03:59Imam Mkuu wa Msikiti wa al Azhar nchini Misri amefutilia mbali mkutano uliotazamiwa kufanyika hivi karibuni kati yake na Makamu wa Rais wa Marekani, Mike Pence, ikiwa ni radiamali kwa kitendo cha Rais Donald Trump wa Marekani kuitangaza Baytul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Misri, Algeria, Tunisia zalaani uamuzi wa Trump kuhusu Quds
Dec 07, 2017 04:05Nchi za Kiafrika za Misri, Tunisia na Algeria zimetoa taarifa tofauti za kulaani uamuzi wa rais wa Marekani, Donald Trump wa kuitangaza Baytul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni.
-
Misri yamuonya Trump dhidi ya kuvuruga mambo Mashariki ya Kati
Dec 06, 2017 04:20Rais Abdulfattah al-Sisi wa Misri amemtahadharisha mwenzake wa Marekani Donald Trump dhidi ya kuhamishia ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv hadi mji mtukufu wa Quds, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Jeshi la Misri laangamiza magaidi 5 kaskazini mwa Cairo
Dec 05, 2017 04:36Jeshi la Misri limefanikiwa kuangamiza wanachama watano wa magenge ya ukufurishaji baada ya kushambulia maficho yao kaskazini mwa mji mkuu, Cairo.
-
Uzayuni wa kimataifa ndio uliofanya shambulizi la kigaidi Sinai Misri
Nov 29, 2017 12:53Mchambuzi mkuu wa gazeti kubwa zaidi binafsi la nchini Misri amesema kuwa, Uzayuni wa kimataifa ndio uliohusika katika mauaji ya umati yaliyofanyika Ijumaa iliyopita katika msikiti mmoja mkubwa kwenye Rasi ya Sinai, kaskazini mwa Misri.
-
Shakhsia 270 wa kisiasa wa Misri waanzisha kampeni ya kususia uchaguzi ujao wa rais
Nov 29, 2017 01:35Mamia ya shakhsia wa kisiasa nchini Misri wameanzisha kampeni maalumu ya kuwahamasisha wananchi wasusie kushiriki uchaguzi ujao wa rais wa nchi hiyo.