-
Jumatano, 25 Septemba, 2024
Sep 25, 2024 02:16Leo ni Jumatano tarehe 21 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1446 Hijria, mwafaka na tarehe 25 Septemba 2024.
-
Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umeanza Tehran kwa kuhudhuriwa na Rais wa Iran
Sep 19, 2024 06:48Mkutano wa 38 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umeanza leo hapa mjini Tehran kwa kuhudhuriwa na Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Mchezo wa kamari wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel utashindwa
Oct 04, 2023 02:28Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, mchezo wa kamari wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni ni mithili ya kubeti juu ya farasi asiyeshinda katika mashindano, kwa sababu leo hii harakati ya Wapalestina iko hai na ina utayari zaidi kuliko wakati mwingine wowote, na utawala wa Kizayuni unaelekea katika kifo.
-
Kiongozi Muadhamu azitaka nchi za Kiislamu kushikamana kukabiliana na mabeberu
Oct 03, 2023 12:25Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, baada ya madola ya kiistikbari na kibeberu kuhisi hatari kutokana na kuenea nguvu za mafundisho ya Qur'ani Tukufu, yameamua kuendesha kampeni za kukivunjia heshima Kitabu hicho Kitakatifu cha Mwenyezi Mungu.
-
Rais wa Iran afungua Mkutano wa 37 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu
Oct 01, 2023 13:48Kongamano la 37 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu limeanza leo jijini Tehran kwa hotuba ya Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Mkutano wa 36 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu kufanyika Tehran
Oct 09, 2022 14:25Mkutano wa 36 wa kimataifa wa Umoja wa Kiislamu unatarajiwa kufanyika wiki ijayo hapa jijini Tehran kwa kuhudhuriwa na makumi ya shakhsia wa kidini wa ndani na nje ya nchi kwa mnasaba wa maadhimisho ya Wiki ya Umoja.
-
Mufti Mkuu wa Croatia: Mkutano wa Umoja wa Kiislamu ni kiriri cha kuelezea hali ya nchi za Kiislamu
Oct 20, 2021 13:27Mufti Mkuu wa Waislamu wa Croatia amesema, Mkutano wa Umoja wa Kiislamu ni kiriri cha kuelezea hali ya sasa ya nchi za Kiislamu.
-
Spika Qalibaf: Kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel hakutadumu
Oct 29, 2020 12:18Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewahutubu baadhi ya watawala wa nchi za Kiislamu ambao wameanzisha uhusiano wa kawaiada na utawala haramu wa Israel na kusema kuwa, viongozi wa mataifa hayo wanapasa kutambua kwamba, hilo halitadumu lakini doa baya katika historia litabakia kwa jina lao mbele ya wananchi wa mataifa ya Kiislamu na watu huru duniani.
-
Kiongozi: Kufutwa Israel maana yake ni wamiliki wa asili wa Palestina kuweza kuchagua serikali
Nov 15, 2019 13:53Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kufutwa Israel kuna maana ya kuondolewa utawala bandia wa Kizayuni na mahala pake kuchukuliwa na serikali iliyochaguliwa na wamiliki wa asili wa Palestina ambao ni Waislamu, Wakristo na Mayahudi.
-
Harakati ya Hizbullah ya Lebanon yasisitiza kutetewa Palestina
Nov 15, 2019 07:57Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza udharura wa kuungwa mkono na kutetewa taifa madhulumu la Palestina.