-
Rais Rouhani: Palestina na Quds ndiyo maudhui kuu ya Umma wa Kiislamu
Nov 14, 2019 10:41Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu amesema kuwa Palestina na Quds tukufu ndiyo maudhui kuu ya Umma wa Kiislamu na kuongeza kuwa: Ulimwengu wa Kiislamu hautawaruhusu maadui kuwafanya walimwengu wasahau kadhia ya Palestina na Quds tukufu.
-
Mapitio ya Mkutano wa 32 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu
Dec 01, 2018 10:28Assalamu Alaykum msikilizaji mpenzi wa Radio Tehran popote pale ulipo wakati huu na karibu kusikiliza kipindi hiki maalumu cha Mapitio ya Mkutano wa 32 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu uliofanyika hapa mjini Tehran kuanzia tarehe 24 hadi 26 Novemba 2018, kwa mnasaba wa Wiki ya Umoja ya maadhimisho ya kuzaliwa Kiongozi na Muunganishi wa Umma wa Kiislamu, Bwana Mtume Muhammad SAW. Endelea basi kuwa pamoja nami kuanzia awali hadi tamati ya mazungumzo yetu.
-
Rais Rouhani: Iran inanyoosha mkono wa udugu kwa Waislamu wote
Nov 26, 2018 04:34Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Iran inanyoosha mkono wa udugu kwa Waislamu wote duniani.
-
Kiongozi Muadhamu: Umma wa Kiislamu unapaswa kuwa na umoja na mshikamano
Nov 25, 2018 17:20Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa umoja, mshikamano na kauli moja ya ulimwengu wa Kiislamu vitazishinda njama za maadui.
-
Mkutano wa Umoja wa Kiislamu, Iran iko mstari wa mbele katika kambi ya kupigania uhuru
Nov 25, 2018 16:13Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu unaendelea hapa mjini Tehran kwa kaulimbiu ya "Quds, Nguzo ya Umoja wa Umma". Mkutano huo wa siku tatu unahudhuriwa na shakhsia 300 wa kisiasa na kidini kutoka nchi mbalimbali duniani na unajadili njia za kutatua matatizo ya ulimwengu wa Kiislamu.
-
Haniya: Malengo ya Palestina ni suala la umma wote wa Kiislamu
Nov 24, 2018 13:43Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amehutubu katika Kongamano la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu mjini Tehran na kusema: "Utawala wa Kizayuni ni adui mkuu wa Umma wa Kiislamu."
-
Taarifa ya mwisho ya Kongamano la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu yatilia mkazo Intifadha Mpya
Dec 08, 2017 03:30Kongamano la Kimataifa la 31 la Umoja wa Kiislamu limetoa taarifa na kulaani matamshi ya juzi ya Rais wa Marekani kuhusu Quds na kusisitiza kuwa kuna haja kwa Ulimwengu wa Kiislamu kuanzisha Intifadha Mpya ya Palestina ili kukabiliana na mashambulizi dhidi ya Quds.
-
Ayatullah Khamenei: Marekani, Israel na vibaraka wao Mashariki ya Kati ni mafirauni wa zama hizi
Dec 06, 2017 15:37Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Marekani, utawala haramu wa Israel, wenye fikra mgando na wategemezi wa madola makubwa ni mafirauni wa zama hizi na kuongeza kuwa, baadhi ya wanasiasa wa Kimarekani wamekiri bayana kwamba, kuna ulazima wa kutokea vita na machafuko magharibi mwa Asia (Mashariki ya Kati) ili utawala ghasibu wa Israel uwe katika amani na wakati huo huo kuufanya ulimwengu uliotapakaa damu wa Kiislamu usipate maendeleo.
-
Spika wa Bunge la Algeria: Umoja baina ya Waislamu ni neema ya Mwenyezi Mungu
Dec 06, 2017 04:53Spika wa Bunge la Algeria amesema kuwa ushirikiano unaondoa hitilafu na mifarakano na matunda yake makubwa ni utajiri mkubwa ambao tunalazimika kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa ajili yake.
-
Rais Rouhani: Nguzo kuu za ugaidi katika eneo zimeporomoka
Dec 05, 2017 16:11Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa leo, nguzo kuu za ugaidi katika eneo la Asia Magharibi zimeporomoka na kuongeza kuwa, 'sehemu kubwa ya njama za madola makubwa duniani, uistikabri na Uzayuni dhidi ya mataifa ya eneo zimegonga mwamba.'