-
Miripuko ya mabomu yaua waumini wasiopungua 62 ndani ya msikiti nchini Afghanistan
Oct 18, 2019 16:18Watu wasiopungua 62 wameuawa na wengine zaidi ya 100 wamejeruhiwa katika miripuko kadhaa ya mabomu iliyotokea leo ndani ya msikiti katika mkoa wa Nangarhar mashariki mwa Afghanistan.
-
India yazidisha hatua kali za usalama kabla ya kuhitimishwa kesi ya Msikiti wa Babri
Oct 15, 2019 04:05Serikali ya India imezidisha hatua kali za usalama katika mji wa Ayodhya, jimbo la Uttar Pradesh huko kaskazini mwa nchi hiyo kabla ya kutolewa uamuzi muhimu sana wa Mahaka Kuu ya nchi hiyo juu ya mzozo wa eneo la Msikiti wa Babri linalogombaniwa baina ya Waislamu na Wahindu.
-
Vitendo vya ugaidi Tunisia, mada za miripuko zapatikana msikitini kabla ya kuripuka
Jul 04, 2019 09:57Maafisa usalama wa Tunisia wamegundua mada kadhaa za miripuko katika msikiti mmoja nchini humo na kuzitegua kabla ya kuripuka.
-
Saudi Arabia kubana vikali harakati za watoa mawaidha katika mwezi wa Ramadhani
May 05, 2019 02:27Waziri wa Masuala ya Kiislamu wa Saudi Arabia ametangaza kuwa, makhatibu na watoa mawaidha misikiti katika mwezi mtukufu wa Ramadhani watapaswa kufanya mambo yao kwa mujibu wa siasa za utawala wa Aal Saud; kwani kinyume na hivyo watachukuliwa hatua kali.
-
Misikiti mitano yavamiwa katika mji wa Birmingham nchini Uingereza
Mar 21, 2019 15:04Misikiti mitano imeshambuliwa katika mji wa Birmingham nchini Uingereza, wiki moja baada ya kutokea mashambulizi ya kigaidi nchini New Zealand na kuua makumi ya Waislamu na kujeruhi makumi ya wengine.
-
Maandamano makubwa yafanyika London kupinga ubaguzi
Mar 17, 2019 04:26Makumi ya maelfu ya watu walikusanyika kati kati ya mji mkuu wa Uingereza, London jana Jumamosi kulaani na kupinga chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) na ubaguzi wa rangi.
-
CAIR: Trump ndie chanzo cha hujuma za kigaidi misikitini New Zealand
Mar 16, 2019 14:39Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) limesema sera za Rais Donald Trump zimechangia kuchochea hujuma za kigaidi zilizojiri katika misikiti miwili nchini New Zealand Ijumaa na kupelekea Waislamu 49 kuuawa.
-
Uchunguzi: Akthari ya vijana wa Ujerumani wanaunga mkono ujenzi wa misikiti nchini humo
Mar 05, 2019 02:44Matokeo ya uchunguzi mpya yanaonyesha kwamba akthari ya vijana wa Ujerumani wanaunga mkono kujengwa misikiti nchini humo.
-
Aliyechoma moto msikiti jimbo la Texas, Marekani ahukumiwa kifungo cha miaka 25 jela
Oct 18, 2018 08:08Mahakama ya Marekani imemuhukumu kifungo cha miaka 25 jela mwanamume mmoja aliyehusika na tukio la kuchoma moto msikiti katika jimbo la Texas nchini humo.
-
Watu wawili wauawa kwa kudungwa visu msikitini nchini Afrika Kusini
Jun 14, 2018 08:12Kwa akali watu wawili wamethibitishwa kuuawa kwa kudungwa visu wakiwa msikitini, baada ya mtu mmoja kuvamia eneo hilo la ibada nchini Afrika Kusini.