-
Waislamu Austria walaani azma ya serikali ya kutaka kufunga misikiti nchini
Jun 11, 2018 07:16Waislamu nchini Austria wamekosoa vikali mpango wa serikali wa kufunga misikiti saba na kuwatimua makumi ya Maimamu na familia zao kutokana na kile inachodai ni mkakati wa kuzuia 'Uislamu wa kisiasa' katika nchi hiyo ya Ulaya.
-
Msikiti washambuliwa kwa moto na magaidi wenye chuki ya Uislamu nchini Uingereza
Jun 09, 2018 01:22Katika hatua ya chuki dhidi ya Uislamu, msikiti mmoja wa eneo la Beeston mjini Leeds nchini Uingereza umeshambuliwa kwa moto na watu wasiojulikana.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 36 na sauti
Jun 03, 2018 15:11Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 36 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Iran yalaani shambulizi dhidi ya Waislamu msikitini Afrika Kusini
May 12, 2018 07:35Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali shambulizi la hivi karibuni dhidi ya msikiti mmoja karibu na mji wa Durban nchini Afrika Kusini.
-
Mashambulizi pacha ya mabomu yaua kadhaa msikitini Nigeria
Apr 22, 2018 14:01Mashambulizi pacha ya mabomu yameua waumini watatu wa Kiislamu msikitini katika mji wa Bama jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Mzozo wa uongozi wapelekea msikiti kufungwa na kuzingirwa Uganda
Mar 23, 2018 07:22Wanajeshi na maafisa wa polisi wameufunga na kuuzingira Msikiti wa Basajjabalaba katika Manispaa ya Bushenyi-Ishaka magharibi mwa Uganda kutokana na mzozo miongoni mwa Waislamu katika eneo hilo.
-
Msikiti mwingine washambuliwa kwa bomu nchini Ujerumani
Mar 20, 2018 15:53Msikiti mmoja katika mji wa Ulm, kusini mwa Ujerumani umeshambuliwa kwa bomu na watu wasiojulikana, chini ya wiki mbili baada ya msikiti mwingine kuteketezwa kwa moto katika mji mkuu wa nchi hiyo ya Ulaya, Berlin.
-
Maadui watangaza "Siku ya Kumwadhibu Muislamu" nchini Uingereza
Mar 12, 2018 02:30Taharuki imetanda miongoni mwa Waislamu nchini Uingereza baada ya kundi lenye chuki dhidi ya Uislamu kusambaza barua za kutaka kushambuliwa Waislamu na misikiti nchini humo.
-
Wenye chuki dhidi ya Uislamu wachoma moto msikiti nchini Ujerumani
Mar 11, 2018 16:28Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa matukio ya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu barani Ulaya, wavamizi wasiojulikana wameuteketeza moto msikiti mmoja katika mji mkuu wa Ujerumani, Berlin.
-
Saudia yahujumu na kuvunja misikiti katika mashambulio yake mapya nchini Yemen
Feb 25, 2018 15:36Ndege za kivita za utawala wa Aal-Saud zimelenga misikiti na vituo vingine vya Kiislamu katika hujuma zake mpya za anga nchini Yemen.