-
Waziri Mkuu wa Uingereza atembelea msikiti akiwa amevaa mtandio kichwani
Feb 19, 2018 15:39Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May ametembelea msikiti mmoja mjini London akiwa amevaa mtandio kichwani ikiwa ni sehemu ya kushiriki katika kampeni maalumu ya Waislamu wa Uingereza inayoendeshwa chini ya kaulimbiu ya "Tembelea Msikiti Wangu."
-
Waislamu wazidi kunyanyaswa barani Ulaya; msikiti wachomwa moto Uholanzi
Feb 12, 2018 07:49Ikiwa ni katika kuendeleza vitendo vya unyanyasaji dhidi ya Waislamu, watu wenye chuki za kidini wameuchoma moto msikiti mmoja katika mji wa Drachten wa kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Hujuma ya kigaidi msikitini Benghazi, Libya, watu kadhaa wauawa au kujeruhiwa
Feb 09, 2018 15:18Watu kadhaa wanaripotiwa kupoteza maisha au kujeruhiwa katika mji wa Benghazi nchini Libya kufuatia hujuma ya kigadi wakati wa Sala ya Ijumaa hii leo.
-
Vyama vya siasa Misri vyalaani shambulizi la kigaidi dhidi ya Msikiti wa al Rawdhah
Nov 26, 2017 08:21Vyama mbalimbali vya kisiasa nchini Misri vimelaani shambulizi la kigaidi dhidi ya Msikiti wa al Rawdhah katika mji wa al Arish makao makuu ya mkoa wa Sinai Kaskazini na kutangaza kuwa kuna njama zinatekelezwa kutoka nje ili kuzusha hali ya mchafukoge nchini humo.
-
Serikali ya Ufaransa yawawekea Waislamu vizuizi vipya wasiweze kusali Sala ya Ijumaa katika mji wa Paris
Nov 20, 2017 07:45Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa Gerard Collomb amesema ni marufuku kusali Sala la Ijumaa katika eneo la Clichy kaskazini mwa mji mkuu wa nchi hiyo, Paris.
-
Imarati yazitaka nchi za Ulaya zidhibiti misikiti kwa kuweka CCTV
Nov 15, 2017 07:45Waziri mmoja wa Umoja wa Falme za Kiarabu UAE ameitaka Ujerumani na nchi nyingine za Ulaya kudhibiti misikiti na makhatibu wa misikiti katika nchi zao kwa shabaha ya kuzuia uenezwaji wa misimamo mikali ya kufurutu ada.
-
Binti wa miaka 13 aua watu 5 katika shambulio dhidi ya msikiti Cameroon
Sep 14, 2017 14:39Mshambuliaji aliyekuwa amejifunga bomu amejiripua na kuua watu wasiopungua watano katika msikiti mmoja ulioko kaskazini mwa Cameroon karibu na mpaka wa nchi hiyo na Nigeria.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi na sauti-5
Sep 02, 2017 15:50Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya tano ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Vituo viwili vya Kiislamu vyashambuliwa na kundi lenye chuki za kidini Uhispania
Aug 21, 2017 08:16Vituo viwili vya Kiislamu vimeshambuliwa na kundi la watu wenye chuki dhidi ya dini ya Kiislamu nchini Uhispania.
-
Jenerali Qassem Soleimani: Iran ni chemchemu ya uthabiti katika eneo
Aug 21, 2017 02:31Kamanda wa kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema Iran haijawahi katu kuzusha mgogoro na kulea utakfiri; na leo hii imekuwa chemchemu ya uthabiti katika eneo la Mashariki ya Kati.