-
Watu 8 wajeruhiwa katika hujuma msikitini Ufaransa
Jul 03, 2017 08:00Watu 8 wamejeruhiwa baada ya kufyatuliwa risasi mbele ya mlango ya msikiti kusini mwa Ufaransa.
-
Azerbaijan yazidi kuwakandamiza Waislamu, yabomoa msikiti mwingine wa kihistoria Baku
Jul 03, 2017 03:44Serikali ya Azerbaijan imeendeleza ukandamizaji wake dhidi ya Waislamu ambapo katika tukio la karibuni kabisa imebomoa msikiti mwingine wa kihistoria wa Baku, mji mkuu wa nchi hiyo kwa kisingizio cha kuwalinda waumini wanaoswali ndani yake.
-
Ukarabati wa msikiti mkubwa zaidi wa udongo wakamilika nchini Mali
May 13, 2017 02:34Mamia ya wananchi Waislamu wa Mali wamekamilisha kazi ya matengenezo ya msikiti mkubwa zaidi wa matofali ya udongo duniani ulioko mjini Djenné kusini mwa nchi hiyo.
-
Marekani yakiri kuhusika na shambulizi dhidi ya msikiti nchini Syria
May 05, 2017 13:37Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) hatimaye imekiri kuwa ndege za kijeshi za US zilitekeleza shambulizi a anga dhidi ya msikiti mmoja nchini Syria ambapo makumi ya watu waliuawa.
-
Wanasiasa wa chama tawala India kizimbani kwa kuchochea kubomolewa msikiti
Apr 19, 2017 15:25Mahakama ya Juu nchini India imetoa hukumu kwamba wanasiasa wa chama tawala nchini humo cha Bharatiya Janata Party (BJP) wanapaswa kupandishwa kizimbani kwa kuhusika na kitendo cha kubomolewa msikiti wa kihistoria nchini humo.
-
HRW yalaani shambulizi la Marekani dhidi ya msikiti nchini Syria
Apr 18, 2017 15:33Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limelaani shambulizi la anga la Marekani dhidi ya msikiti mmoja nchini Syria mwezi uliopita, ambapo makumi ya watu waliuawa.
-
Waislamu nchini Ufaransa waandamana kulalamikia kufungwa misikiti kadhaa
Apr 16, 2017 02:51Waislamu nchini Ufaransa wameandamana kulalamikia siasa za chuki dhidi ya Uislamu na kufungwa misikiti kadhaa ndani ya nchi hiyo, kunakofanywa na serikali.
-
Makumi ya Waislamu wajeruhiwa baada ya msikiti kuchomwa moto Algeria
Apr 15, 2017 13:44Makumi ya Waislamu nchini Algeria wamejeruhiwa kwa moto, baada ya msikiti waliokuwa wakishwali ndani yake kuchomwa moto makusudi.
-
Israel yaamuru kubomolewa Msikiti Ukingo wa Magharibi
Apr 14, 2017 07:47Utawala haramu wa Israel umetoa amri ya kubomolewa msikiti katika eneo linalokaliwa kwa mabavu la Quds Mashariki kwa madai kwamba msikiti huo ulijengwa bila ya kupata vibali.
-
Maadui wa Waislamu washambulia msikiti mwingine nchini Marekani
Mar 17, 2017 03:57Vyombo vya habari vya nchini Marekani vimeripoti habari ya kushambuliwa msikiti mwingine, kusini magharibi mwa nchi hiyo.