-
Israel yaamuru kubomolewa Msikiti Ukingo wa Magharibi
Apr 14, 2017 03:17Utawala haramu wa Israel umetoa amri ya kubomolewa msikiti katika eneo linalokaliwa kwa mabavu la Quds Mashariki kwa madai kwamba msikiti huo ulijengwa bila ya kupata vibali.
-
Maadui wa Waislamu washambulia msikiti mwingine nchini Marekani
Mar 17, 2017 00:27Vyombo vya habari vya nchini Marekani vimeripoti habari ya kushambuliwa msikiti mwingine, kusini magharibi mwa nchi hiyo.
-
Jeshi la Syria lakomboa misikiti mitatu toka mikononi mwa Daesh
Mar 15, 2017 03:38Jeshi na vikosi vya kujitolea vya wananchi wa Syria vimekomboa misikiti mitatu iliyokuwa chini ya udhibiti wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh, mashariki mwa mji wa Damascus.
-
Msikiti mwingine wachomwa moto Marekani, matamshi ya chuki ya Trump yanaendela kufanya kazi
Feb 25, 2017 03:14Kundi la waokoaji katika mji wa Hillsboro kwenye jimbo la Florida nchini Marekani wametangaza kuwa Msikiti na Kituo cha Kiislamu cha New Tampa cha mji huo kimechomeka kwa moto na kwamba ushahidi unaonesha uhalifu huo umefanyika kwa makusudi.
-
Misikiti 91 imeshambuliwa na watu wenye chuki dhidi ya Uislamu Ujerumani
Feb 12, 2017 03:48Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ujerumani imesema misikiti 91 na vituo vya dini ya Kiislamu vilishambuliwa nchini humo mwaka jana pekee 2016.
-
Aliyetekeleza mauaji msikitini Canada ni mfuasi sugu wa Trump
Feb 01, 2017 00:50Mwanafunzi wa chuo kikuu aliyetekeleza mauaji dhidi ya waumini wa Kiislamu waliokuwa wakisali katika msikiti mmoja mjini Quebec nchini Canada siku chache zilizopita ni mtu mwenye misimamo ya mrengo wa kulia na mfuasi sugu wa Donald Trump, Rais wa Marekani.
-
Misikiti yafungwa Uholanzi kufuatia shambulizi la Quebec, Canada
Jan 31, 2017 09:54Misikiti minne ya Jamia nchini Uholanzi inatazamiwa kufungwa kutokana na kushadidi chuki dhidi ya Waislamu, siku mbili baada ya shambulizi la kikatili dhidi ya msikiti na kituo cha kidini mjini Quebec nchini Canada.
-
Kuongezeka chuki dhidi ya Waislamu Amerika Kaskazini
Jan 31, 2017 00:39Baada ya kuongezeka hisia za chuki na uadui dhidi ya Waislamu huko Amerika Kaskazini hususan baada ya kuingia madarakani Rais Donald Trump nchini Marekani, hivi sasa matokeo mabaya ya jambo hilo yameanza kuonekana.
-
5 wauawa kwa risasi kwenye hujuma dhidi ya msikiti Quebec, Canada
Jan 30, 2017 04:08Kwa akali watu watano wameuawa katika hujuma ya kikatili dhidi ya msikiti mmoja katika mji wa Quebec nchini Canada usiku wa kuamkia leo.
-
Hujuma za uchomaji moto misikiti zaendelea nchini Marekani
Jan 29, 2017 04:22Katika muendelezo wa sera za chuki dhidi ya Uislamu na hujuma zinazolenga misikiti nchini Marekani, vyombo vya usalama vya nchi hiyo vimeripoti kuwa msikiti mwingine mmoja umechomwa moto katika jimbo la Texas.