Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Mtume Muhammad SAW

  • Maulidi ya Mtume SAW yaadhimishwa kwa sherehe kubwa Somalia, yatangazwa sikukuu rasmi ya kitaifa

    Maulidi ya Mtume SAW yaadhimishwa kwa sherehe kubwa Somalia, yatangazwa sikukuu rasmi ya kitaifa

    Sep 05, 2025 14:45

    Maelfu ya Waislamu nchini Somalia jana Alkhamisi, waliandamana mitaani katika mji mkuu wa nchi hiyo Mogadishu kuadhimisha siku aliyozaliwa Bwana Mtume Muhammad SAW, huku Wizara ya Kazi na Masuala ya Kijamii ikiitangaza kuwa ni sikukuu ya kitaifa na siku rasmi ya mapumziko kuadhimisha tukio hilo.

  • Leo ni Jumapili tarehe 27 Novemba 2022

    Leo ni Jumapili tarehe 27 Novemba 2022

    Nov 27, 2022 02:29

    Leo ni Jumapili tarehe Pili Jamadil Awwal 1444 Hijria inayosadifiana na tarehe 27 Novemba 2022.

  • Kiongozi Muadhamu: Mazazi ya Mtume (SAW) yalifungua ukurasa mpya wa maisha ya mwanadamu

    Kiongozi Muadhamu: Mazazi ya Mtume (SAW) yalifungua ukurasa mpya wa maisha ya mwanadamu

    Oct 24, 2021 15:17

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuzaliwa Mtume mtukufu Muhammad (SAW) kulifungua ukurasa mpya katika maisha ya mwanadamu.

  • Jumapili, 24 Oktoba, 2021

    Jumapili, 24 Oktoba, 2021

    Oct 24, 2021 02:23

    Leo ni Jumapili tarehe 17 Mfunguo Sita Rabiu Awwal 1443 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 24 Oktoba 2021 Miladia.

  • Mbunge wa chama cha Leba ataka sheria ya kuwaadhibu wanaomvunjia heshima Mtume (saw)

    Mbunge wa chama cha Leba ataka sheria ya kuwaadhibu wanaomvunjia heshima Mtume (saw)

    Jul 11, 2021 04:42

    Mbunge wa Uingereza ametetea heshima ya Mtume Muhammad (saw) katika hotuba ya kupendeza kwenye Bunge la nchi hiyo, akiangazia mashinikizo ya kiroho na madhara yaliyosababishwa kwa Waislamu ulimwenguni kote kutokana na katuni na picha zinazochapishwa mara kwa mara barani Ulaya zikimvunjia heshima Nabii huyo wa Mwenyezi Mungu.

  • Jumapili tarehe 6 Sepemba 2020

    Jumapili tarehe 6 Sepemba 2020

    Sep 06, 2020 02:25

    Leo ni Jumapili tarehe 17 Mfunguo Nne Muharram mwaka 1442 Hijri sawa na tarehe 6 Septemba 2020.

  • Pakistan yasikitishwa na Charlie Hebdo kumvunjia tena heshima Mtume SAW

    Pakistan yasikitishwa na Charlie Hebdo kumvunjia tena heshima Mtume SAW

    Sep 02, 2020 07:57

    Pakistan imelaani vikali uamuzi wa jarida linalochapishwa nchini Ufaransa la Charlie Hebdo wa kuchapisha tena vibonzo vinavyomvunjia heshima Mtume Muhammad (SAW).

  • Bibi Fatimatu al Zahra (as) katika Ayatu Tat'hir

    Bibi Fatimatu al Zahra (as) katika Ayatu Tat'hir

    Jan 15, 2020 11:19

    إِنَّما یُرِیدُ اللَّهُ لِیُذْهِبَ عَنْکُمُ الرِّجْسَ أَهْلَ الْبَیْتِ وَ یُطَهِّرَکُمْ تَطْهِیراً

  • Wiki ya Umoja wa Kiislamu-3: Fursa ya Kuimarisha Mazingira ya Kupatikana Umoja Katika Ulimwengu wa Kiislamu

    Wiki ya Umoja wa Kiislamu-3: Fursa ya Kuimarisha Mazingira ya Kupatikana Umoja Katika Ulimwengu wa Kiislamu

    Nov 11, 2019 07:58

    Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji. Karibuni kusikiliza kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kuadhimisha Wiki ya Umoja, sambamba na kusherehekea kuzaliwa mbora wa viumbe Bwana Mtume Muhammad SAW. Endeleeni kuwa nami basi hadi tamati ya kipindi kutegea sikio yale niliyokuandalieni kwa leo.

  • Mfalme wa Morocco awaachia huru mamia ya wafungwa kwa mnasaba wa Maulidi

    Mfalme wa Morocco awaachia huru mamia ya wafungwa kwa mnasaba wa Maulidi

    Nov 10, 2019 07:23

    Mfalme Muhammad wa Sita wa Morocco ametangaza msahama kwa wafungwa 300 kwa mnasaba wa kumbukumbu ya mazazi ya Mtume Muhammad (SAW).

Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS