-
Maalumu Siku ya Kufa Shahidi Hadhrat Zahra al Batul (as)
Dec 08, 2022 05:36Tarehe 13 Jumadil-Awwal, ni siku ya kumbukumbu ya kuuawa shahidi binti wa Mtume wetu, Muhammad al Mustafa (saw), Bibi Fatimatu Zahra (as) na siku ya maombolezo ya Waislamu hususan wapenzi wa Ahlul Bait (as).
-
Akhlaqi Katika Uislamu (46)
Nov 28, 2022 01:28Amani ya Allah, rehma na baraka zake ziwe juu yako mpendwa msikilizaji popote pale ulipo wakati huu. Nakukaribisha kusikiliza sehemu hii ya 46 ya kipindi cha Akhlaqi Katika Uislamu nikiwa na matumaini kuwa, mimi pamoja na wewe tutanufaika na yale tutakayoyasikia katika kipindi hiki ambacho kwa leo kitaendelea kuzungumzia na kuchambua "Akhlaqi za Kisiasa" katika Uislamu. Endelea kuwa nami basi hadi tamati ya mazungumzo yetu.
-
Imam Jaafar Sadiq AS alisisitiza umoja wa Waislamu
Oct 13, 2022 13:03Imam Ja'far Swadiq AS mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW alizaliwa mwaka 83 Hijria katika mji mtakatifu wa Madina na kulelewa na baba yake mtukufu Imam Muhammad Baqir AS pamoja na mama yake mtoharifu.
-
Mtume Muhammad SAW alileta uhai mpya
Oct 13, 2022 13:01Waislamu duniani wanasherehekea Maulidi na kukumbuka tukio la kuzaliwa Mbora wa Walimwengu, Muhammad Mwaminifu SAW. Ni fusa muafaka ya kutafakari kuhusu umoja wa Waislamu duniani.
-
Wiki ya Umoja na Maulidi ya Mtume (saw)
Oct 10, 2022 04:14Siku hizi za mwezi wa Mfunguo Sita Rabiu Awwal ni fursa adhimu kwa Waislamu kote duniani kupitia tena Aya zinazohusiana na umoja na mshikamano wa Waislamu katika Qur'ani Tukufu na Hadithi za Mtume wetu Muhammad (saw) ambaye kwa mujibu wa riwaya na mapokezi mawili tofauti ya wanazuoni na wanahistoria, alizaliwa ama tarehe 12 au 17 ya mwezi huu.
-
Alkhamisi tarehe 29 Septemba 2022
Sep 28, 2022 22:59Leo ni Alkhamisi tarehe Pili Rabiul Awwal 1444 Hijria sawa na tarehe 29 Septemba 2022.
-
Jumatatu tarehe 25 Oktoba 2021
Oct 24, 2021 23:00Leo ni Jumatatu tarehe 18 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1443 Hjria sawa na Oktoba 25 mwaka 2021.
-
Spika wa Bunge la Iran awapongeza maspika wa nchi za Kiislamu kwa mnasaba wa Maulidi ya Mtume (saw)
Oct 24, 2021 04:45Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amewatumia ujumbe maspika wenzake katika nchi za Kiislamu akiwapa mkono wa kheri na baraka kwa mnasaba wa maadhimisho na sherehe za Maulidi ya Mtume Muhammad (saw).
-
Iran yaadhimisha siku ya kuzaliwa Mtume wa Mwisho wa Mwenyezi Mungu, Muhammad (saw)
Oct 23, 2021 23:56Leo tarehe 17 Mfunguo Sita Rabiu Awwal 1443 Hijria inasadifiana na siku aliyozaliwa Mtume wa Mwisho wa Mwenyezi Mungu, Muhammad bin Abdullah (saw) na mjukuu wake mwema, Imam Ja'far al Swadiq (as).
-
Jumanne tarehe 5 Oktoba 2021
Oct 04, 2021 22:48Leo ni Jumanne tarehe 28 Safar 1443 Hijria inayosadifiana na tarehe 5 Oktoba 2021.