Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

muqawama

  • Jihad Islami: Machaguo mengi yatakuwa meza dhidi ya Israel iwapo mzingiro wa Gaza hautaondolewa

    Jihad Islami: Machaguo mengi yatakuwa meza dhidi ya Israel iwapo mzingiro wa Gaza hautaondolewa

    Sep 05, 2021 03:16

    Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imetishia kuwa, machaguo mengi yatakuwa mezani dhidi ya utawala ghasibu wa Israel iwapo utawala huo hautaondoa mzingiro wa pande zote dhidi ya raia wa Ukanda wa Gaza.

  • Matukio ya Afghanistan; sisitizo la umuhimu wa muqawama katika eneo la Asia Magharibi

    Matukio ya Afghanistan; sisitizo la umuhimu wa muqawama katika eneo la Asia Magharibi

    Aug 28, 2021 02:37

    Matukio ya majuma mawili ya hivi karibuni nchini Afghanistan yameonyesha kuwa, makundi ya mapambano na muqawama katika eneo la Asia Magharibi yana nafasi muhimu katika kulinda mamlaka ya kujitawala pamoja na usalama wa mataifa yao.

  • Hamas yasisitiza kuendelezwa mapambano dhidi ya adui Mzayuni

    Hamas yasisitiza kuendelezwa mapambano dhidi ya adui Mzayuni

    Aug 26, 2021 03:45

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesisitiza udharura wa kuendeleza mapambano dhidi ya utawala ghasibu wa Israel kwa kutumia suhula na nyenzo zote.

  • Sayyid Nasrullah: Tunajivunia kuwa na uadui na Marekani na utawala haramu wa Israel

    Sayyid Nasrullah: Tunajivunia kuwa na uadui na Marekani na utawala haramu wa Israel

    Aug 23, 2021 07:54

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, kambi ya muqawama inajivunia na uadu na ubeberu wa Marekani, uadui wa utawala haramu wa Israel na mipango ya utawala huo ghasibu dhidi ya harakati hii.

  • Hamas: Kukiri kushindwa Israel kunadhihirisha nguvu ya muqawama

    Hamas: Kukiri kushindwa Israel kunadhihirisha nguvu ya muqawama

    Aug 16, 2021 02:36

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kukiri kushindwa katika vita vya karibuni huko Ghaza inadhihirisha nguvu iliyonayo wanamapambano wa Palestina.

  • "Muqawama wa Kiislamu utajibu hujuma zote za Israel dhidi ya Lebanon"

    Aug 13, 2021 13:03

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema utawala wa Kizayuni wa Israel unapaswa kufahamu kuwa, muqawama wa Kiislamu utatoa majibu kwa mashambulizi yote ya Tel Aviv dhidi ya Lebanon.

  • Ismail Haniya: Iran ndiyo roho ya kambi ya muqawama

    Ismail Haniya: Iran ndiyo roho ya kambi ya muqawama

    Aug 09, 2021 07:41

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndiyo roho na moyo wa mrengo wa muqawama wa Kiislamu.

  • Jihad al Islami: Muqawama ndiyo njia pekee ya kupambana na Israel

    Jihad al Islami: Muqawama ndiyo njia pekee ya kupambana na Israel

    Jul 13, 2021 02:36

    Msemaji wa Harakati ya Jihad al Islami ya Palestina amewapongeza wanamapambano wa Palestina wanaojihami kwa silaha mbele ya jinai za Wazayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kusema kuwa, hiyo ndiyo njia pekee ya kupambana na Israel.

  • Mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrallah kuhusu duru mpya ya vita vya Marekani dhidi ya muqawama kupitia vyombo vya habari

    Mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrallah kuhusu duru mpya ya vita vya Marekani dhidi ya muqawama kupitia vyombo vya habari

    Jul 07, 2021 11:10

    Sayyid Hassan Nasrallah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Jumatatu alitoa hotuba akiashiria hatua ya Marekani kuteka na kufunga tovuti za habari zinazofungamana na harakati za muqawama au mapamabano ya Kiislamu ambapo ametoa sababu kadha za uhasama huo wa Marekani.

  • Muqawama wa Palestina wamtahadharisha tena adui Mzayuni

    Muqawama wa Palestina wamtahadharisha tena adui Mzayuni

    Jun 22, 2021 08:17

    Brigedi ya Mashahidi wa al Aqsa imeutahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa, muqawama utaanzisha duru mpya ya mapigano na mashambulizi ya roketi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu iwapo utawala huo hautafungua vivuko vya Ukanda wa Ghaza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS