-
Hotuba za viongozi wa mrengo wa Mapambano ya Kiislamu kuhusu Siku ya Kimataifa ya Quds
May 21, 2020 09:13Viongozi wa mrengo wa Mapambanoya Kiislamu katika eneo la Asia Magharibi jana Jumatano na katika kukaribia maadhimisho ya mwaka wa 41 wa Siku ya Kimataifa ya Quds walitoa hotuba muhimu kuhusu siku hiyo na suala zima la Palestina.
-
Mapambano ni njia pekee ya Wapalestina kujibu jinai za Wazayuni
May 18, 2020 10:26Huku Siku ya Kimataifa ya Quds ikikaribia, Wapalestina wanaoishi katika Ukanda wa Ghaza wamefanya maandamano na kusisitiza kwamba mapambano na muqawama wa pande zote ndio njia pekee ya kukabiliana na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Hujuma za vyombo vya habari vya Saudia dhidi ya mhimili wa Muqawama
May 16, 2020 10:30Baada ya kanali ya televisheni ya MBC inayomilikiwa na utawala wa Aal Saud kuonyesha filamu ya mfuatano iliyo dhidi ya Palestina, hivi karibuni televisheni hiyo imechukua hatua nyingine mpya kwa kumtusi na kumvunjia heshima Shahidi Abu Mahdi al-Muhandis, aliyekuwa Naibu Mkuu wa Al-Hashdu-Sha'abi ya Iraq.
-
Muqawama; njia pekee ya kukabiliana na utawala ghasibu wa Kizayuni
May 14, 2020 06:47Viongozi wa makundi ya kupigania ukombozi wa Palestina pamoja na wananchi wamesisitiza kuwa njia pekee ya kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel ni muqawama au mapambano.
-
Marekani, muhimili wa muqawama na mzingiro wa bonde la Shi'b Abi Twalib
May 10, 2020 08:15Ijumaa iliyopita Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah nchini Lebanon aliufananisha mwenendo wa Marekani katika kukabiliana na muqawama kuwa ni sawa na mwenendo ule ule wa viongozi wa Kiquraish dhidi ya Mtume Muhammad (saw) katika mzingiro wa (bonde la) Shi'b Abi Twalib.
-
Hizbullah: Muqawama umejiandaa kupambana na maadui
Apr 14, 2020 11:39Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, harakati hiyo ya muqawama daima iko tayari na imejiandaa barabara kukabiliana na chokochoko za maadui.
-
HAMAS: Umoja wa Muqawama wa Palestina utaushinda 'Muamala wa Karne'
Feb 26, 2020 12:53Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ameashiria jibu la wanamapambano wa Palestina dhidi ya mashambulio ya karibuni ya Wazayuni na kusisitiza kuwa: Muqawama utaushinda pia mpango wa Muamala wa Karne.
-
Kukombolewa Khan Tuman; ushindi muhimu nchini Syria
Jan 31, 2020 11:59Vikosi vya jeshi la Syria vimelikomboa eneo la Khan Tuman katika operesheni za kuyatimua makundi ya kigaidi katika maeneo ya nchi hiyo yaliyokuwa yamevamiwa na kukaliwa kwa mabavu na makundi hayo.
-
Ugaidi, vikwazo na mauaji ya kigaidi, stratijia tatu za Magharibi dhidi ya kambi ya muqawama
Jan 19, 2020 10:57Wizara ya Fedha ya Uingereza katika hatua yake ya uhasama, imeliweka kikamilifu jina la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon katika orodha yake ya taasisi ambazo kwa mtazamo wa London ni za kigaidi.
-
Sayyid Nasrullah: Vikosi vya Muqawama kote duniani kujibu mapigo ya kuuawa shahidi Soleimani
Jan 03, 2020 13:55Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema vikosi vya wanamuqawama kote duniani vina jukumu la kuwaadhibu wale waliohusika na mauaji ya kikatili ya Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Meja Jenerali Qassem Solaimani.