Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

muqawama

  • Ali Akbar Velayati: Iran itasimama imara kukabiliana na njama chafu za maadui za kuzigawa nchi za Asia Magharibi

    Ali Akbar Velayati: Iran itasimama imara kukabiliana na njama chafu za maadui za kuzigawa nchi za Asia Magharibi

    Dec 28, 2019 12:13

    Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema kuwa Iran inapinga aina yoyote ya uingiliaji wa kigeni katika masuala ya nchi za eneo la Asia Magharibi, kama ambavyo itasimama imara kukabiliana na dhulma, njama, uvamizi na ajenda chafu za maadui kwa ajili ya kuzidhoofisha na kuzigawa nchi za eneo.

  • Hamas: Silaha za muqawama ndizo pekee zinazoitia hofu Israel

    Hamas: Silaha za muqawama ndizo pekee zinazoitia hofu Israel

    Nov 18, 2019 02:33

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, silaha za muqawama ndizo pekee zinazodhamini usalama wa taifa la Palestina na kuilazimisha Israel ibaki kwenye makubaliano ya kusimamisha vita.

  • Makundi ya muqawama Palestina yaonya kuhusu hatua za Israel dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa

    Makundi ya muqawama Palestina yaonya kuhusu hatua za Israel dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa

    Oct 21, 2019 12:27

    Makundi ya wanamuqawama wa Palestina yametoa onyo kwa hatua za utawala haramu wa Israel dhidi ya msikiti mtakatifu wa al-Aqswa kibla cha kwanza cha Waislamu.

  • Jihad Islami: Mapambano ndio njia pekee ya kuikomboa Palestina

    Jihad Islami: Mapambano ndio njia pekee ya kuikomboa Palestina

    Oct 06, 2019 11:50

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina amesema: "Mapambano na muqawama ndio njia pekee ya kuikomboa Palestina na Wapalestina ni mhimili mkuu wa mapambano hayo."

  • Salami: Stratijia ya muqawama imepelekea adui akose irada

    Salami: Stratijia ya muqawama imepelekea adui akose irada

    Oct 01, 2019 02:48

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema stratijia ya muqawama au mapambano ya Kiislamu imepelekea adui adorore na akose irada. Ameongeza kuwa, hivi sasa maadui wameanza kudidimia kwa namna ambayo hawawezi kupata nguvu tena na hifadhi zao za kistratijia zinaelekea kumalizika.

  • Hizbullah: Muqawama una haki ya kujibu uchokozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Hizbullah: Muqawama una haki ya kujibu uchokozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Sep 27, 2019 12:25

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, ni haki ya wanamapambano na wanamuqawama kutoa jibu dhidi ya uchokozi wa aina yoyote ile wa adui Mzayuni.

  • Sayyid Hassan Nasrullah: Vita vyovyote dhidi ya Iran vina maana ya kufutwa Israel katika uso wa dunia

    Sayyid Hassan Nasrullah: Vita vyovyote dhidi ya Iran vina maana ya kufutwa Israel katika uso wa dunia

    Sep 10, 2019 12:41

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema mbele ya mjumuiko mkubwa wa Waislamu waliofurika kwa ajili ya maombolezo ya Siku ya Ashura ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam Husain AS kwamba, vita vyovyote vile dhidi ya Iran vitakuwa na maana ya kuangamizwa na kufutwa katika uso wa dunia, dola pandikizi la Israel.

  • Tahadhari ya Batalioni za Hizbullah ya Iraq kwa Marekani

    Tahadhari ya Batalioni za Hizbullah ya Iraq kwa Marekani

    Aug 24, 2019 02:40

    Batalioni za Hizbullah ya Iraq zimetoa taarifa zikiitahadharisha Marekani kuhusiana na kuendeleza mashambulizi dhidi ya kambi na vituo vya harakati ya wananchi ya nchi hiyo ya al Hashdu al Shaabi.

  • Hizbullah: Marekani haijapata natija yoyote katika mapambano yake dhidi ya muqawama

    Hizbullah: Marekani haijapata natija yoyote katika mapambano yake dhidi ya muqawama

    Jul 28, 2019 04:26

    Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji katika Harakati ya Hizbullah nchini Lebanon amesisitiza kwamba mashinikizo ya kiuchumi ya Marekani dhidi ya muqawama, yalikuwa na lengo la kufanya muqawama huo uachane na majukumu yake ya kuilinda Lebanon.

  • Sayyid Hassan Nasrullah: Jihadi ya Ujenzi ni sehemu ya muqawama

    Sayyid Hassan Nasrullah: Jihadi ya Ujenzi ni sehemu ya muqawama

    Jul 27, 2019 07:17

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon Hizbullah amesema kuwa Jihad ya Ujenzi ni moja ya taasisi kongwe zaidi nchini Lebanon ambayo mbali na kutoa huduma za kiuchumi kwa wananchi wa Lebanon, jihadi hiyo inajishughulisha na kuondoa masalia ya mashambulio ya utawala wa Kizayuni nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS