-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Kuongezeka Waislamu wanaounga mkono muqawama wa Palestina ni dhihirisho la Mwamko wa Kiislamu
Oct 13, 2023 12:11Khatibu wa Swala ya Ijumaa katika mji wa Tehran amesema kuwa kujitokeza wimbi kubwa na uungaji mkono wa Waislamu katika maeneo mbalimbali duniani kwa mapambano ya wananchi wa Palestina ni jambo lenye baraka na la kusifiwa linalodhihirisha mwamko wa Kiislamu.
-
Kan'ani: Sauti ya Kushindwa Wazayuni imesikiwa na walimwengu
Oct 11, 2023 12:37Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa mauaji yanayofanywa na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya waandishi wa habari hayatazuia kufichuliwa ukubwa wa kushindwa kwa utawala huo na jinai zake na kuongeza kuwa: Msingi unaolegalega wa utawala dhalimu na bandia wa Israel unatetereka zaidi, na sauti za kufeli na kushindwa kwake kijeshi na kijasusi imefika kwenye masikio ya walimwengu.
-
Wananchi wa Iran washerehekea ushindi wa kihistoria wa Wapalestina + Video
Oct 08, 2023 03:26Wananchi wa jiji la Tehran wamekusanyika mbele ya ubalozi wa Palestina kusherehekea ushindi wa kihistoria waliopata wanapambano wa Palestina katika shambulio kubwa walilofanya jana Jumamosi dhidi ya Wazayuni.
-
Rais Raisi: Vita havina nafasi katika miongozo ya kijeshi ya Iran
Sep 22, 2023 06:42Rais Ebrahim Raisi amesema: Vita havina nafasi katika miongozo ya kijeshi ya Iran, lakini kudumisha utayarifu wa kijeshi kwa muelekeo wa kujihami ni sera ya Jamhuri ya Kiislamu isiyo na shaka yoyote.
-
Wakuu wa muqawama Palestina na Lebanon kutoa jibu la pamoja dhidi ya Israel
Sep 03, 2023 07:41Viongozi wa harakati za muqawama za Palestina na Lebanon wameapa kushirikiana ili kutoa jibu la pamoja dhidi ya sera za uvamizi za utawala haramu wa Israel.
-
Muqawama wawapongeza Wapalestina kwa ushindi mkubwa Jenin
Jul 05, 2023 10:04Makundi ya muqawama yamewapongeza wananchi wa Palestina kwa kupata ushindi mkubwa wa kufanikiwa kuzima uvamizi na mashambulizi ya jeshi katili la Israel dhidi ya Wapalestina katika mji wa Jenin, kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Makundi ya muqawama Palestina: Tutalipiza kisasi cha mauaji ya Jenin
Jul 04, 2023 07:16Makundi ya muqawama wa Palestina yameapa kuwa yatalipiza kisasi cha damu za Wapalestina waliouawa shahidi katika mashambulizi ya kinyama ya jeshi la utawala wa Kizayuni katika mji wa Jenin, eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Raisi: Muqawama umefichua kuwa Israel haina uwezo wa kujihami
Jun 21, 2023 03:45Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kambi ya muqawama imeanika njozi na uwezo bandia wa kujihami wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
"Kupanuka muqawama, chachu ya kuporomoka Israel"
Jun 18, 2023 07:24Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuendelea kuenea harakati za muqawama katika maeneo yote ya Wapalestina yanayokaliwa kwa mabavu ni chachu ya kusambaratika na kuporomoka kwa kasi utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Raisi: Kusimama kidete mataifa ya Syria na Palestina kumeiimarisha kambi ya muqawama
May 04, 2023 06:54Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kusimama imara mataifa ya Palestina na Syria kumebadilisha hali ya mambo kwa manufaa ya kambi ya muqawama na leo hii utawala wa Kizayuni wa Israel ni dhaifu zaidi kuliko wakati mwingine wowote.