Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

muqawama

  • Rais wa Iran:  Syria imeibuka na ushindi licha ya vitisho na vikwazo

    Rais wa Iran: Syria imeibuka na ushindi licha ya vitisho na vikwazo

    May 03, 2023 11:40

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, serikali ya Syria pamoja na wananchi wa nchi hiyo wamepitia masaibu na matatizo mengi na hii leo taifa hilo limeweza kuibuka ushindi.

  • Amir Abdollahian: Ziara ya Rais Raisi Syria ni dhihirisho la mafanikio ya diplomasia ya serikali katika ushirikiano wa kikanda

    Amir Abdollahian: Ziara ya Rais Raisi Syria ni dhihirisho la mafanikio ya diplomasia ya serikali katika ushirikiano wa kikanda

    May 03, 2023 07:11

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema safari ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Syria mbali na umuhimu wake wa kisiasa, kiusalama na kiuchumi ni dhihirisho la ushindi wa irada ya kisiasa ya muqawama na kufanikiwa diplomasia ya serikali katika kukamilisha mchakato wa utangamano wa kikanda.

  • Hamas: Maonyo ya Sayyid Nasrullah ndiyo sababu kuu ya woga wa utawala wa Kizayuni

    Hamas: Maonyo ya Sayyid Nasrullah ndiyo sababu kuu ya woga wa utawala wa Kizayuni

    Apr 27, 2023 05:37

    Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, maonyo yanayotolewa na Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah ndiyo sababu kuu inayozuia mashambulio ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Kata'ib Hizbullah: Ikilazimu, tutakabiliana moja kwa moja na Marekani

    Kata'ib Hizbullah: Ikilazimu, tutakabiliana moja kwa moja na Marekani

    Mar 27, 2023 02:11

    Harakati ya kupambana na ugaidi ya Kata'ib Hizbullah ya Iraq imeonya kuwa, iwapo makundi ya muqawama katika nchi hiyo ya Kiarabu yatashambuliwa na vikosi vya Marekani kama vilivyofanya Syria, basi harakati hiyo haitakuwa na budi kuingia katika makabiliano ya moja kwa moja na vikosi hivyo vamizi.

  • Jumuiya ya Maulamaa wa Muqawama yasisitiza kuondolewa haraka vikwazo dhidi ya Syria

    Jumuiya ya Maulamaa wa Muqawama yasisitiza kuondolewa haraka vikwazo dhidi ya Syria

    Feb 13, 2023 11:49

    Jumuiya ya Maulamaa wa Muqawama imetoa taarifa ikisisitiza udharura wa kuondolewa haraka iwezekanavyo vikwazo dhidi ya Syria katika kipindi hiki ambacho nchi hiyo inahitajia misaada kutokana na kukumbwa na janga la tetemeko la ardhi.

  • Kiongozi Muadhamu: Kazi kubwa ya shahidi Soleimani ilikuwa ni kuimarisha kambi ya muqawama

    Kiongozi Muadhamu: Kazi kubwa ya shahidi Soleimani ilikuwa ni kuimarisha kambi ya muqawama

    Jan 01, 2023 12:06

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, miongoni mwa kazi kubwa zilizofanywa na Luteni Jenerali shahid Qassem Soleimani, aliyekuwa Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH, ni kuhuisha na kutia nguvu kambi ya muqawama.

  • Hamas: Maneva ya al Rakan al Shadid 3 ni dhihirisho la nguvu ya muqawama

    Hamas: Maneva ya al Rakan al Shadid 3 ni dhihirisho la nguvu ya muqawama

    Dec 29, 2022 08:09

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema kuwa maneva ya al Rakan al Shadid 3 yanayonesha nguvu ya muqawama.

  • Kuongezeka operesheni za muqawama za Wapalestina Ukingo wa Magharibi na kukanganyikiwa Wazayuni

    Kuongezeka operesheni za muqawama za Wapalestina Ukingo wa Magharibi na kukanganyikiwa Wazayuni

    Dec 08, 2022 02:22

    Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umesema, umetiwa wasiwasi na kuongezeka operesheni za muqawama za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na hasa juu ya kudumu na kuendelea kwa operesheni hizo.

  • Jen. Safavi: Sera ya muqawama inazidi kuimarika na kupata nguvu

    Jen. Safavi: Sera ya muqawama inazidi kuimarika na kupata nguvu

    Sep 28, 2022 08:17

    Mshauri Mkuu wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, stratejia ya muqawama katika eneo hili la Asia Magharibi na miongoni mwa mataifa yanayopenda haki duniani inazidi kuimarika na kupata nguvu, na bila shaka nguvu hizo zitafelisha njama za kambi ya ubeberu.

  • Iran: Tuko tayari kuzipa nchi nyingine uzoefu wetu wa kupambana na vikwazo kwa miongo minne

    Iran: Tuko tayari kuzipa nchi nyingine uzoefu wetu wa kupambana na vikwazo kwa miongo minne

    Aug 29, 2022 07:29

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika masuala ya kisiasa amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kuzipa nchi nyingine rafiki, uzoefu wake wa kukabiliana na vikwazo kwa zaidi ya miaka 40 na kuvigeuza vikwazo hivyo kuwa fursa ya maendeleo na kujitegemea kila upande.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS