-
Uturuki yatangaza kuwa tayari kutuma wanajeshi wake Libya kuisaidia serikali ya Sarraj
Dec 23, 2019 07:14Makamu wa Rais wa Uturuki Fuat Oktay ametangaza kuwa, 'iwapo serikali ya muafaka wa kitaifa Libya itawasilisha ombi rasmi, Uturuki iko tayari kutuma wanajeshi wake katika nchi hiyo ya Afrika Kaskazini.
-
Kutambuliwa kimataifa kwamba mashambulizi ya Marekani nchini Syria ni jinai ya kivita
Sep 12, 2019 10:25Muungano wa kimataifa wa eti kupambana na Daesh (ISIS) unaoongozwa na Marekani uliundwa mwaka 2014 kwa madai ya kukabiliana na genge hilo la kigaidi, na umekuwa ukifanya mashambulizi ya kiholela nchini Syria bila ya kuwa na taathira zozote za maana mbaya kwa genge hilo la ukufurishaji.
-
Madai ya Muungano wa Kimarekani ya eti kupambana na ugaidi, urongo mkubwa wa karne
Mar 19, 2019 03:06Serikali ya Syria imeutuhumu muungano eti wa kimataifa wa kupambana na Daesh unaoongozwa na Marekani kuwa umefanya jinai za kivita.
-
Kikao cha muungano unaojiita eti dhidi ya Daesh (ISIS) na madai ya kukaririwa ya Washington
Feb 08, 2019 06:56Tarehe 19 Disemba mwaka jana Rais Donald Trump wa Marekani alitangaza kwamba askari wa Marekani wataanza kuondoka Syria.
-
Russia yataka uchunguzi ufanyike kuhusu muungano wa Marekani kutumia silaha zilizopigwa marufuku nchini Syria
Oct 14, 2018 07:49Baada ya kuzuka machafuko na vita vya ndani nchini Syria Marekani imekuwa ikishirikiana kwa karibu na magaidi wa kitakfiri pamoja na nchi kadhaa za Kiarabu kwa ajili ya kuing'oa madarakani serikali halali ya Rais Bashar al-Asad wa nchi hiyo.
-
Waziri Mkuu wa Uingereza apinga kunyongwa magaidi wa ISIS
Jul 23, 2018 14:05Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May amesema serikali yake itapinga vikali hukumu ya kuonyongwa magaidi wakufurishaji wa kundi la ISIS au Daesh ambao ni raia wa nchi hiyo.
-
Magaidi saba wa ISIS wapata kifungo cha maisha gerezani
Jul 21, 2018 01:18Mahakama nchini Iraq imewahukumu vifungo vya maisha gerezani magaidi saba Wairaqi wa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh baada ya kuwapata na hatia ya kusaidia katika utekelezaji wa hujuma za kigaidi nchini humo.
-
Morocco: Zaidi ya magaidi elfu 10 wapo barani Afrika
Jun 28, 2018 03:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Morocco amesema kuwa, zaidi ya magaidi elfu 10 wapo barani Afrika.
-
Muungano wa kijeshi wa Marekani wakiri kuua raia 892 wa Syria na Iraq
Jun 01, 2018 07:43Muungano wa kimataifa unaoongozwa na Marekani wa eti kupambana na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) umekiri kupitia ripoti uliyotoa hapo jana kuwa tangu yalipoanza mashambulio ya anga ya muungano huo mwaka 2014 hadi sasa raia 892 wameuawa katika nchi za Syria na Iraq.
-
Rais Bashar al-Assad: Muungano wa Marekani unaunga mkono genge la Daesh Syria
Mar 05, 2018 08:11Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, muungano wa kimataifa unaodaiwa kuwa 'dhidi ya Daesh' chini ya uongozi wa Marekani, kwa sasa umegeuka na kuwa kikosi cha anga cha kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) nchini Syria.