Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

muungano dhidi ya Daesh - ISIS

  • Rais Bashar al-Assad: Muungano wa Marekani unaunga mkono genge la Daesh Syria

    Rais Bashar al-Assad: Muungano wa Marekani unaunga mkono genge la Daesh Syria

    Mar 05, 2018 08:11

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, muungano wa kimataifa unaodaiwa kuwa 'dhidi ya Daesh' chini ya uongozi wa Marekani, kwa sasa umegeuka na kuwa kikosi cha anga cha kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) nchini Syria.

  • Njama za kuvuruga muungano wa vita dhidi ya ugaidi wa Iran, Russia na Uturuki

    Njama za kuvuruga muungano wa vita dhidi ya ugaidi wa Iran, Russia na Uturuki

    Jan 13, 2018 07:39

    Nchi za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Russia na Uturuki zina muungano ambao si tu kuwa umeweza kufanikiwa katika medani ya vita dhidi ya ugaidi, bali pia katika mazungumzo ya kidiplomasia, muungano huo umeweza kuibua mabadiliko katika masuala yanayohusiana na tatizo la ugaidi.

  • Njama mpya ya Marekani ya kuiangusha serikali ya Syria katika kipindi hiki cha baada ya kuangamizwa ISIS (Daesh)

    Njama mpya ya Marekani ya kuiangusha serikali ya Syria katika kipindi hiki cha baada ya kuangamizwa ISIS (Daesh)

    Dec 18, 2017 08:00

    Je, Marekani itaachana na Syria? Katika kipindi hiki cha baada ya kuangamizwa kundi la kigaidi la ISIS, hivi sasa Marekani inatekeleza njama chafu ya kuiangusha serikali halali ya Syria.

  • Rais wa Russia akutana na Rais wa Syria na kumpongeza kufuatia mafanikio dhidi ya magaidi

    Rais wa Russia akutana na Rais wa Syria na kumpongeza kufuatia mafanikio dhidi ya magaidi

    Nov 21, 2017 08:08

    Rais Vladimir Putin wa Russia amempongeza Rais Bashar al-Assad wa Syria kufuatia ushindi mkubwa wa jeshi la Syria dhidi ya magaidi.

  • Raia 29 wauawa katika jinai mpya za muungano unaoongozwa na Marekani nchini Syria

    Raia 29 wauawa katika jinai mpya za muungano unaoongozwa na Marekani nchini Syria

    Jul 27, 2017 08:04

    Raia 29 wa Syria jana waliuawa katika mashambulizi ya ndege za kivita za muungano eti wa kimataifa wa kupambana na Daesh unaoongozwa na Marekani. Mashambulizi hayo yalifanywa katika mji wa Raqqah kaskazini mwa Syria.

  • Maafisa wa Saudia waliwasaidia magaidi wa ISIS huko Mosul, Iraq

    Maafisa wa Saudia waliwasaidia magaidi wa ISIS huko Mosul, Iraq

    Jul 14, 2017 08:03

    Saudi Arabia ilituma maafisa wake wa kijasusi na kijeshi kujiunga na magaidi wa ISIS au Daesh Mosul wakati wa oparesheni ya jeshi la Iraq ya kuukomboa mji huo.

  • Waziri Mkuu wa Iraq atangaza rasmi ushindi dhidi ya ISIS Mosul

    Waziri Mkuu wa Iraq atangaza rasmi ushindi dhidi ya ISIS Mosul

    Jul 09, 2017 14:16

    Waziri Mkuu wa Iraq Haider al-Abadi ametangaza rasmi ushindi dhidi ya kundi la kigaidi la ISIS au Daesh katika mji wa Mosul miezi minane baada ya kuanza vita dhidi ya magaidi hao wakufurishaji.

  • Magaidi 350 raia wa Uingereza warejea nyumbani kutoka  Syria

    Magaidi 350 raia wa Uingereza warejea nyumbani kutoka Syria

    May 06, 2017 07:47

    Mashirika ya kijasusi ya Uingereza yameonya kuwa raia 350 wa nchi hiyo ambao ni magaidi wanachama wa kundi la kigaidi la ISIS wamerejea nchini humo kutoka Syria na sasa ni tishio kubwa kwa usalama.

  • Nguruwe mwitu wenye hasira waua magaidi wa ISIS nchini Iraq

    Nguruwe mwitu wenye hasira waua magaidi wa ISIS nchini Iraq

    Apr 26, 2017 13:11

    Magaidi watatu wa kundi la kitakifiri la ISIS au Daesh wameuawa na nguruwe mwitu waliokuwa na hasira katika eneo la kaskazini mwa Iraq.

  • Marekani yakiri imeua raia 400 Syria na Iraq

    Marekani yakiri imeua raia 400 Syria na Iraq

    Apr 03, 2017 04:37

    Muungano unaodaiwa ni wa kupambana na genge la kigaidi la Daesh unaoongozwa na Marekani umekiri kwamba katika kipindi cha baina ya mwaka 2014 hadi 2017 umeua karibu raia 400 nchini Iraq na Syria katika mashambulizi yake ya anga.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS