-
Syria yalalamikia kushadidi jinai za Marekani
Mar 23, 2017 15:25Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria katika kulalamikia jinai za muungano wa Marekani wa eti kupambana na magaidi wa ISIS au Daesh, imelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kutekeleza majukumu yake na kusitisha mauaji ya raia na uharibifu unaofanywa na muungano wa kimataifa unaoongozwa na Marekani nchini Syria.
-
Mkuu wa magaidi wa ISIS asaidiwa na askari wa Marekani kutoroka Mosul
Mar 10, 2017 07:06Kinara wa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh ameukimbia mji wa Mosul, Iraq kwa msaada wa askari wa Marekani katika eneo hilo.
-
Magaidi wa ISIS waua raia 12 Sinai, Misri
Dec 13, 2016 16:19Magaidi wanaofungamana na kundi la kigaidi la ISIS au Daesh nchini Misri wameua raia 16 katika Rasi ya Sinai kwa tuhuma za kushirikiana na jeshi la serikali.
-
Muungano unaoongozwa na Marekani umeua raia wasio na hatia wa Iraq
Nov 28, 2016 07:46Raia wasiopungua 18 wameuliwa katika eneo la makaazi ya raia la mji wa Mosul kaskazini mwa Iraq katika shambulio lililofanywa na muungano unaoongozwa na Marekai kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi nchini humo.
-
Jeshi la Iraq lakomboa kusini mwa Mosul, magaidi 950 wauawa
Nov 19, 2016 15:43Jeshi la Iraq limetangaza kukomboa eneo la kusini mwa mji wa Mosul na kuwaangamiza magaidi zaidi ya 950 wa kundi la kitakfiri la ISIS waliokuwa wanashikilia eneo hilo.
-
Makumi ya maelfu ya watu waukimbia mkoa wa Nainawa, Iraq
Nov 06, 2016 02:44Kamati ya Wahajiri ya Bunge la Iraq imetangaza kuwa, karibu watu 29 elfu wameukimbia mkoa wa Nainawa tangu ilipoanza operesheni ya kuukomboa mji wa Mosul, makao makuu ya mkoa huo.
-
Ugaidi Mashariki ya Kati, Afrika umezushwa na nchi za Magharibi
Oct 24, 2016 03:40Nchi za Magharibi ndizo zilizozusha na kueneza ugaidi barani Afrika na eneo zima la Mashariki ya Kati.
-
Usimamizi mzuri wa Iraq katika kumbukumbu ya Ashura ya Imam Hussein AS
Oct 13, 2016 08:09Pamoja na kuwepo makundi hatari ya kigaidi katika maeneo mbali mbali, maombolezo ya kuuawa shahidi Imam Hussein AS na wafuasi wake watiifu, yalifanyika kwa mafanikio na usalama kamili nchini Iraq katika mji wa Karbala na kuhudhuriwa na mamilioni ya wafanya ziara.
-
Baraza la Waislamu Marekani lalaani mauaji ya Orlando
Jun 13, 2016 06:57Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) limelaani hujuma katika mji wa Orlando nchini Marekani ambapo watu wasiopungua 50 waliuawa jana katika klabu moja huku wengine 53 wakijeruhiwa.
-
Kinara wa ISIS, Abu Bakr Baghdadi, ajeruhiwa vitani Iraq
Jun 10, 2016 14:11Duru nchini Iraq zinadokeza kuwa kinara wa kundi la kigiaid la ISIS (Daesh), Ibrahim al-Samarrai, maarufu kama Abu Bakr al-Bahgdadi, amejeruhiwa katika hujuma ya ndege za kivita.