Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Myanmar

  • Mapigano yanaendelea Myanmar, hofu ya maelfu ya Warohingya kuzingirwa

    Mapigano yanaendelea Myanmar, hofu ya maelfu ya Warohingya kuzingirwa

    Jun 18, 2024 02:34

    Kundi la kabila lenye silaha nchini Myanmar linajiandaa kufanya mashambulizi dhidi ya vituo vya kijeshi katika mji wa pwani kwenye mpaka na Bangladesh, huku kukiwa na hofu kwamba makumi ya maelfu ya Waislamu wa Rohingya watakamatwa katika mapigano magharibi mwa nchi hiyo.

  • UN: Migogoro mingine isifanye wakimbizi Warohingya wasahaulike

    UN: Migogoro mingine isifanye wakimbizi Warohingya wasahaulike

    Oct 18, 2023 03:51

    Kamishna Mkuu wa Wakimbizi wa Umoja wa Mataifa ameitaka jamii ya kimataifa isishugulishwe tu na migogoro mipya na kuwasahau wakimbizi Waislamu Warohingya wa Myanmar.

  • Helikopta na ndege kivita za jeshi la Myanmar zashambulia na kuua makumi ya watu

    Helikopta na ndege kivita za jeshi la Myanmar zashambulia na kuua makumi ya watu

    Apr 11, 2023 11:51

    Jeshi la Myanmar limefanya mashambulizi ya anga katika mji wa kati mwa nchi hiyo unaojulikana kuwa ngome ya upinzani dhidi ya mapinduzi yaliyofanywa na jeshi hilo miaka miwili iliyopita.

  • Umoja wa Mataifa wasikitishwa na hatua ya kufutwa vyama 40 vya upinzani nchini Myanmar

    Umoja wa Mataifa wasikitishwa na hatua ya kufutwa vyama 40 vya upinzani nchini Myanmar

    Mar 31, 2023 11:22

    Antonio Guterres Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameeleza kusikitishwa na ripoti iliyotolewa ikieleza kuwa, tume ya uchaguzi ya Myanmar iliyoteuliwa na jeshi la nchi hiyo imevifuta vyama 40 vya upinzani, kikiwemo chama cha National League for Democracy (NLD) kinachoongozwa na Aung San Suu Kyi.

  • Umoja wa Mataifa waomba misaada kwa ajili wakimbizi wa Rohingya

    Umoja wa Mataifa waomba misaada kwa ajili wakimbizi wa Rohingya

    Dec 28, 2022 08:01

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi limeziomba msaada kwa nchi mbalimbali kwa ajili ya wakimbizi wa Rohingya baada ya Waislamu wasiopungua 20 wa jamii hiyo kuaga dunia baharini na mamia ya wengine kunusurika kifo katika ufuo wa Indonesia baada ya wiki kadhaa za kutangatanga katika Bahari ya Hindi.

  • UN yataka dunia iwasaidie wakimbizi Waislamu wa Rohingya

    UN yataka dunia iwasaidie wakimbizi Waislamu wa Rohingya

    Aug 26, 2022 07:25

    Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa mwito kwa jamii ya kimataifa kuwasaidia kwa hali na mali wakimbizi Waislamu wa Rohingya walioko nchini Bangladesh.

  • UN yalishutumu jeshi la Myanmar kwa kutenda jinai za vita, mauaji na utesaji

    UN yalishutumu jeshi la Myanmar kwa kutenda jinai za vita, mauaji na utesaji

    Mar 16, 2022 07:33

    Umoja wa Mataifa umesema, jeshi la Myanmar limehusika na ukiukaji wa kimpangilio wa haki za binadamu ambao umefikia kiwango cha jinai za vita na jinai dhidi ya binadamu.

  • UN yaitaka jamii ya kimataifa izidi kulishinikiza jeshi Myanmar likomeshe ukatili

    UN yaitaka jamii ya kimataifa izidi kulishinikiza jeshi Myanmar likomeshe ukatili

    Jan 29, 2022 08:05

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Michelle Bachelet ameitaka jamii ya kimataifa izidishe mashinikizo kwa jeshi la Myanmar ili likomeshe kampeni yake ya ukatili na ukandamizaji dhidi ya watu wa Myanmar na kusisitiza kurejeshwa mara moja utawala wa kiraia nchini humo.

  • Kuhukumiwa kifungo cha miaka minne jela Aung San Suu Kyi

    Kuhukumiwa kifungo cha miaka minne jela Aung San Suu Kyi

    Dec 08, 2021 02:33

    Mahakama nchini Myanmar imemhukumu kifungo cha miaka minne jela Aung San Suu Kyi kiongozi wa kilichokuwa chama tawala nchini humo cha National League for Democracy (NLD).

  • Baraza la Usalama lataka kuhitimishwa ukandamizaji dhidi ya raia nchini Myanmar

    Baraza la Usalama lataka kuhitimishwa ukandamizaji dhidi ya raia nchini Myanmar

    Nov 12, 2021 02:23

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa taarifa inayoelezea wasiwasi mkubwa kuhusu machafuko yanayoendelea nchini Myanmar, ambapo wanajeshi waliotwaa madaraka ya nchi wanafanya ukandamizaji dhidi ya wapinzani na kutoa wito wa kuhitimishwa vitendo hivyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS