-
Waislamu 21 wauawa Myanmar katika mapigano jimboni Rakhine
Aug 25, 2017 07:43Waislamu 21 wameuawa katika mapigano yaliyozuka usiku wa kuamkia leo nchini Myanmar katika jimbo la Rakhine la magharibi mwa nchi hiyo.
-
Kuendelea kunyanyaswa Waislamu wa Rohingya
Aug 25, 2017 02:47Serikali ya Myanmar imeamua kuongeza idadi ya wanajeshi wake katika jimbo la Rakhine la magharibi mwa nchi hiyo suala ambalo limetajwa kuwa na kwa lengo la kuzidi kuwakandamiza Waislamu wa kabila ya Rohingya. Maelefu ya Waislamu hao wamelazimika kukimbilia Bangladesh kuokoa maisha yao.
-
Koffi Annan: Haki za Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar ziheshimiwe
Aug 24, 2017 13:43Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa amelaani vikali mauaji ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar na kusisitiza kuwa, utumiaji wa mabavu na nguvu kupita kiasi dhidi yao hakuwezi kusaidia kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo.
-
Mfululizo wa vipindi vya 'Ukatili wa Mabudha dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar' na Sauti
Aug 13, 2017 12:53Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 12 na ya mwisho ya makala yanayozungumzia jinai na ukatili wa kutisha unaofanywa na Mabudha wenye kuchupa mipaka dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar.
-
Takwa la Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kwa Myanmar
Aug 04, 2017 06:48Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) Yusuf bin Ahmed Al-Othaimeen ameitaka serikali ya Myanmar kuheshimu haki za Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini humo.
-
Mfululizo wa vipindi vya 'Ukatili wa Mabudha dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar' na Sauti
Jul 23, 2017 14:05Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 10 ya makala yanayozungumzia jinai na ukatili wa kutisha unaofanywa na Mabudha wenye kuchupa mipaka dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar.
-
Serikali ya Myanmar yakataa kutoa viza kwa ujumbe wa UN kuchunguza hali ya Waislamu
Jul 13, 2017 08:01Wanaharakati wa haki za binaadamu wametangaza kuwa, serikali ya Myanmar imekataa kutoa viza kwa timu ya wachunguzi wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kwenda kuchunguza hali ya Waislamu wa Rohingya nchini humo.
-
Kuendelea kuuliwa Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar
Jun 09, 2017 02:26Wawakilishi wa bunge la Myanmar wametaka kujengwa vijiji zaidi vya kikabila kwa lengo la kuwakandamiza Waislamu wa jamii ya Rohingya ikiwa ni katika kuendelea kuangamizwa kizazi cha Waislamu hao huko Myanmar khususan katika mkoa wa Rakhine.
-
Jeshi la Myanmar lapata miili na mabaki ya ndege yake iliyoanguka
Jun 08, 2017 06:49Jeshi la Myanmar limetangaza kuwa limepata mabaki ya ndege yake iliyotoweka jana Jumatano ikiwa na watu 122 katika bahari ya Andaman.
-
Mfululizo wa vipindi vya 'Ukatili wa Mabudha dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar' na Sauti
Jun 03, 2017 14:40Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya nane ya makala yanayozungumzia jinai na ukatili wa kutisha unaofanywa na Mabudha wenye kuchupa mipaka dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar.