Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Myanmar

  • UN yaunda timu ya kuchunguza jinai dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    UN yaunda timu ya kuchunguza jinai dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    May 30, 2017 15:29

    Umoja wa Mataifa umeunda timu ya wataalamu huru kuchunguza mauaji na jinai zinazofanywa na jeshi la Myanmar dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya katika jimbo la Rakhine.

  • Mfululizo wa vipindi vya 'Ukatili wa Mabudha dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar' na Sauti

    Mfululizo wa vipindi vya 'Ukatili wa Mabudha dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar' na Sauti

    May 28, 2017 11:15

    Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya sita ya makala yanayozungumzia jinai na ukatili wa kutisha unaofanywa na Mabudha wenye kuchupa mipaka dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar.

  • Myanmar yapinga ripoti ya UN kuhusu jinai zake dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    Myanmar yapinga ripoti ya UN kuhusu jinai zake dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    May 23, 2017 07:45

    Jeshi la Myanmar limekanusha ripoti ya uchunguzi wa Umoja wa Mataifa iliyosema kuwa viongozi wa serikali wanabeba dhima ya jinai zilizotendwa na jeshi la nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya.

  • Mfululizo wa vipindi vya 'Ukatili wa Mabudha dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar' na Sauti

    Mfululizo wa vipindi vya 'Ukatili wa Mabudha dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar' na Sauti

    May 23, 2017 06:54

    Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya tano ya makala yanayozungumzia jinai na ukatili wa kutisha unaofanywa na Mabudha wenye kuchupa mipaka dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar.

  • Uungaji mkono wa kamanda wa jeshi la Myanmar kwa ukandamizaji wa askari dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo

    Uungaji mkono wa kamanda wa jeshi la Myanmar kwa ukandamizaji wa askari dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo

    May 14, 2017 10:11

    Min Aung Hlaing, Kamanda Mkuu wa Jeshi nchini Myanmar ameunga mkono ukatili na jinai za kutisha zinazofanywa na askari wa nchi hiyo dhidi ya jamii ya wachache wa Rohingya nchini humo.

  • Mfululizo wa vipindi vya 'Ukatili wa Mabudha dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar' na Sauti

    Mfululizo wa vipindi vya 'Ukatili wa Mabudha dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar' na Sauti

    May 06, 2017 14:36

    Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya nne ya makala yanayozungumzia jinai na ukatili wa kutisha unaofanywa na Mabudha wenye kuchupa mipaka dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar.

  • Mfululizo wa vipindi vya 'Ukatili wa Mabudha dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar' na Sauti

    Mfululizo wa vipindi vya 'Ukatili wa Mabudha dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar' na Sauti

    Apr 30, 2017 13:07

    Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya tatu ya makala yanayozungumzia jinai na ukatili wa kutisha unaofanywa na Mabudha wenye kuchupa mipaka dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar.

  • UN yaitaka Myanmar iwaachie huru watoto wadogo wanaozuiliwa

    UN yaitaka Myanmar iwaachie huru watoto wadogo wanaozuiliwa

    Apr 09, 2017 14:01

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umeitaka serikali ya Myanmar kuwaachia huru watoto wadogo wanaozuiliwa na vyombo vya usalama chini ya mazingira magumu katika jimbo la Rakhine.

  • Jeshi la Myanmar Labomoa Msikiti wa Kihistoria

    Jeshi la Myanmar Labomoa Msikiti wa Kihistoria

    Apr 08, 2017 07:33

    Jeshi la Myanmar limetumia mabuldoza kuubomoa kikamilifu msikiti wa kihistoria katika mkoa wa Waislamu wa Rakhine nchini humo.

  • Kamanda wa jeshi la Myanmar atetea mauaji dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    Kamanda wa jeshi la Myanmar atetea mauaji dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    Mar 28, 2017 12:57

    Kamanda wa jeshi la Myanmar ametetea siasa za ukandamizaji na ukatili unaofanywa na askari wa serikali ya nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya katika mkoa wa Rakhine.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS