Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Myanmar

  • Kuendelea mauaji ya Waislamu nchini Myanmar

    Kuendelea mauaji ya Waislamu nchini Myanmar

    Mar 14, 2017 07:55

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limeituhumu serikali na jeshi la Myanmar kwa kuhusika katika jinai dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini humo.

  • UN: Viongozi wa Myanmar wanabeba dhima ya mauaji yanayofanywa dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo

    UN: Viongozi wa Myanmar wanabeba dhima ya mauaji yanayofanywa dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo

    Mar 11, 2017 02:33

    Mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Myanmar ametoa ripoti kuhusu jinai zilizotendwa na jeshi la nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya na kusema kuwa, viongozi wa serikali wanabeba dhima ya jinai zilizotendwa na askari dhidi ya Waislamu hao.

  • Ukandamizaji wa jeshi la Myanmar dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    Ukandamizaji wa jeshi la Myanmar dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    Mar 01, 2017 03:54

    Yanghee Lee, mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa ambaye hivi karibuni alizitembelea kambi za Waislamu wa Rohingya huko nchini Bangladesh ametoa taarifa inayoeleza kuwa, jeshi la Myanmar limefanya ukandamizaji na vitendo vya kinyama dhidi ya Waislamu hao.

  • UN yaitaka Myanmar ikomeshe jinai zake dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    UN yaitaka Myanmar ikomeshe jinai zake dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    Feb 28, 2017 04:32

    Umoja wa Mataifa umesema ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya wa Myanmar umefikia kiwango cha kutia wasi wasi na ni mkubwa zaidi ya ilivyodhaniwa.

  • Polisi wa Myanmar waunda kamati ya kuchunguza kuteswa Waislamu

    Polisi wa Myanmar waunda kamati ya kuchunguza kuteswa Waislamu

    Feb 14, 2017 03:15

    Baada ya kuongezeka mashinikizo makubwa ya kimataifa, hatimaye jeshi la polisi la Myanmar limetangaza nia yake ya kuwasaili na kuwachunguza maafisa wa polisi wanaodaiwa kuwanyanyasa na kuwatendea vitendo viovu Waislamu wa Rohingya.

  • UN: Zaidi ya Waislamu 1000 wameuawa katika operesheni za jeshi la Myanmar

    UN: Zaidi ya Waislamu 1000 wameuawa katika operesheni za jeshi la Myanmar

    Feb 09, 2017 16:10

    Maafisa wawili wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa wamesema kuwa, zaidi ya Waislamu 1000 wa kabila la Rohingya wameuawa katika operesheni za jeshi la Myanmar kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Sisitizo la Human Rights Watch la Myanmar kuzingatia  ripoti za jinai dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    Sisitizo la Human Rights Watch la Myanmar kuzingatia ripoti za jinai dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    Feb 08, 2017 03:35

    Shirika la Haki za Binadamu la Human Rights Watch limeitaka serikali ya Myanmar itoe radiamali ya haraka kuhusiana na ripoti zinazoeleza juu ya kufanyika jinai dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo wa jamii ya Rohingya.

  •  Jeshi na polisi ya Myanmar zatenda jinai dhidi ya wanawake wa Kiislamu

    Jeshi na polisi ya Myanmar zatenda jinai dhidi ya wanawake wa Kiislamu

    Feb 07, 2017 07:37

    Shirika la Kutetea Haki za Binadamu limeripoti kuwa jeshi na polisi ya Myanmar zinaratibu jinai dhidi ya wanawake wa Kiislamu nchini humo.

  • UN: Vikosi vya usalama vya Myanmar vimekiuka pakubwa haki za Waislamu wa Rohingya

    UN: Vikosi vya usalama vya Myanmar vimekiuka pakubwa haki za Waislamu wa Rohingya

    Feb 04, 2017 16:11

    Umoja wa Mataifa umesema kuwa, vikosi vya usalama vya Myanmar vimefanya ukiukaji mkubwa wa haki dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya wa nchi hiyo.

  • UN yataka Myanmar ikomeshe mauaji dhidi ya Waislamu

    UN yataka Myanmar ikomeshe mauaji dhidi ya Waislamu

    Feb 03, 2017 14:58

    Ripoti ya Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imesema, mamia ya Waislamu wa kabila la Rohingya wameuawa nchini Myanmar katika ukandamizaji wa miezi ya hivi karibuni kwa kile kinachoonekana ni mauaji ya kimbari.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS