Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Myanmar

  • Kupelekwa Waislamu wa Myanmar katika kisiwa cha Bangladesh

    Kupelekwa Waislamu wa Myanmar katika kisiwa cha Bangladesh

    Feb 01, 2017 08:04

    Serikali ya Bangladesh imesisitiza kutekeleza mpango wa kuwapatia makazi wakimbizi wa Kiislamu wa jamii ya Rohingya katika kisiwa cha Tangarchar katika Ghuba ya Bengal.

  • Kuongezeka wasiwasi wa kushadidi mgogoro wa wakimbizi Waislamu wa Myanmar

    Kuongezeka wasiwasi wa kushadidi mgogoro wa wakimbizi Waislamu wa Myanmar

    Jan 30, 2017 08:02

    Hivi sasa ni jambo lililo wazi kwa kila asasi na jumuiya yoyote ya kimataifa kwamba, kuyapatia ufumbuzi matatizo ya Waislamu wa Myanmar si jambo la ndani bali ni kadhia ya kimataifa.

  • Viongozi wa Myanmar wazuia uchunguzi kuhusu jinai dhidi ya Waislamu

    Viongozi wa Myanmar wazuia uchunguzi kuhusu jinai dhidi ya Waislamu

    Jan 29, 2017 03:52

    Viongozi wa serikali ya Myanmar wamewazuia waandishi wa habari na waangalizi wa asasi kadhaa za kimataifa kufanya safari katika mkoa wa Rakhine ambao kwa miezi kadhaa umeshuhudia machafuko na ukatili mkubwa dhidi ya jamii ya Waislamu wa nchi hiyo.

  • Ombi la kutaka uchunguzi huru wa kimataifa kuhusu mauaji ya Waislamu nchini Myanmar

    Ombi la kutaka uchunguzi huru wa kimataifa kuhusu mauaji ya Waislamu nchini Myanmar

    Jan 24, 2017 08:19

    Makundi 41 ya kiraia nchini Myanmar na Mashariki mwa Asia yametoa taarifa na kutaka uchunguzi huru wa kimataifa ufanyike kuhusu mauaji na ukiukwaji wa haki za binadamu za Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar ambao wanakandamizwa na serikali pamoja na mabudha wenye misimamo mikali nchini humo.

  • Myanmar yakaidi mwito wa OIC wa kukomesha jinai dhidi ya Waislamu

    Myanmar yakaidi mwito wa OIC wa kukomesha jinai dhidi ya Waislamu

    Jan 22, 2017 08:12

    Serikali ya Myanmar imepuuza mwito uliotolewa na Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) mjini Kuala Lumpur, nchini Malaysia hivi karibuni, wa kutaka ikomeshe mauaji, ukandamizaji na jinai za kutisha dhidi ya Waislamu wa Rohingya. Wizara ya Mambo ya Nje ya Myanmar jana Jumamosi ilitoa taarifa ya kuikashifu vikali serikali ya Malaysia kwa kuwa mwenyeji wa kikao cha dharura cha OIC cha kujadili hali ya Waislamu wa Myanmar.

  • Malaysia: Serikali ya Myanmar ikomeshe jinai dhidi ya Waislamu

    Malaysia: Serikali ya Myanmar ikomeshe jinai dhidi ya Waislamu

    Jan 19, 2017 13:59

    Waziri Mkuu wa Mayalsia, Najib Razak sambamba na kuituhumu serikali ya Myanmar kwa kuhusika na ukiukaji mkubwa wa haki za binaadamu, amebainisha wasi wasi wake mkubwa juu ya mgogoro wa kibinaadamu unaowakabili Waislamu wa mkoa wa Rakhine wa nchi hiyo ya kusini mashariki mwa Asia.

  • Waislamu wa Myanmar wanatarajia mabadiliko chanya nchini

    Waislamu wa Myanmar wanatarajia mabadiliko chanya nchini

    Jan 18, 2017 08:11

    Ziara ya siku tatu iliyofanywa huko Myanmar na Yanghee Lee Mjumbe wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kuchunguza hali ya Waislamu katika jimbo la Rakhine nchini humo imewapa matumaini Waislamu kuwa huenda hali yao ikaboreka.

  • Amnesty International: Tuna wasiwasi na hatima ya mamia ya Waislamu magharibi mwa Myanmar

    Amnesty International: Tuna wasiwasi na hatima ya mamia ya Waislamu magharibi mwa Myanmar

    Jan 15, 2017 14:36

    Shirika la Msamaha Duniani, Amnesty International limetangaza kuwa, lina wasiwasi juu ya hatima ya mamia ya Waislamu wa jamii ya Rohingya katika jimbo la Rakhine la magharibi mwa Myanmar.

  • OIC kujadili mauaji na ukaandamizaji dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    OIC kujadili mauaji na ukaandamizaji dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    Jan 12, 2017 03:47

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) inatazamiwa kufanya mkutano wa kujadili mauaji na ukandamizaji wanaofanyiwa Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar.

  • Mabudha wa Myanmar wavamia na kuvunja hafla ya Maulidi ya Mtume SAW

    Mabudha wa Myanmar wavamia na kuvunja hafla ya Maulidi ya Mtume SAW

    Jan 09, 2017 07:08

    Mabudha wenye misimamo ya kufurutu mpaka wamevamia na kuvunja hafla ya kidini ya Waislamu katika mji mkuu wa kibiashara wa Myanmar, Yangon katika muendelezo wa kampeni ya hujuma na mashambulio ya umwagaji damu dhidi ya Waislamu Warohingya wa jimbo la magharibi la Rakhine.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS