Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Myanmar

  • Umoja wa Mataifa kuchunguza mauaji na jinai dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar

    Umoja wa Mataifa kuchunguza mauaji na jinai dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar

    Jan 06, 2017 14:52

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, utafanya uchunguzi kuhusiana na ukandamizaji na mauaji yanayoripotiwa kufanywa dhidi ya jamii ya walio wachache ya Waislamu wa Rohingya katika jimbo la Rakhine nchini Myanmar.

  • HRW: Serikali inaficha jinai na mauaji dhidi ya Waislamu wa Myanmar

    HRW: Serikali inaficha jinai na mauaji dhidi ya Waislamu wa Myanmar

    Jan 05, 2017 16:09

    Mashirika ya kutetea haki za binadamu ikiwemo Human Rights Watch yamesema serikali ya Myanmar inajaribu kuficha jinai na mauaji yanayofanywa na vikosi vya usalama vya nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa Rohingya.

  • Myanmar yazuia misaada ya Malaysia kuwafikia Waislamu Warohingya

    Myanmar yazuia misaada ya Malaysia kuwafikia Waislamu Warohingya

    Dec 30, 2016 15:53

    Utawala wa Myanmar unaendelea kuzuia msafara wa meli za Malaysia zinazosheheni misaada ya dharura kwa ajili ya Waislamu wa kabila la Rohingya huku uhusiano wa nchi mbili hizo ukiendelea kuzorota.

  •  Der Spiegel: Waislamu wa Myanmar wanaendelea kuuawa kikatili

    Der Spiegel: Waislamu wa Myanmar wanaendelea kuuawa kikatili

    Dec 22, 2016 14:46

    Gazeti mashuhuri la Ujerumani la Der Spiegel limeripoti kuwa, Waislamu wa Myanmar wanaendelea kukandamizwa kwa mbinu za kikatili.

  • HRW: Jeshi la Myanmar limeteketeza vijiji vya Waislamu Warohingya

    HRW: Jeshi la Myanmar limeteketeza vijiji vya Waislamu Warohingya

    Dec 13, 2016 16:13

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch linasema kuna ushahidi unaoonyesha kuwa Jeshi la Myanmar limeteketeza vijiji vya Waislamu wa kabila la Rohingya katika jimbo la Rakhine.

  • UN yataka Suu Kyi azuie mauaji ya Waislamu Myanmar

    UN yataka Suu Kyi azuie mauaji ya Waislamu Myanmar

    Dec 09, 2016 14:01

    Umoja wa Mataifa umetoa wito kwa kiongozi asiye rasmi wa Myanmar Aung San Suu Kyi achukue hatua za kuzuia ukatili wa jeshi la nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya katika jimbo la Rakhine kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Kofi Annan yuko Myanmar kuchunguza ukatili dhidi ya Waislamu

    Kofi Annan yuko Myanmar kuchunguza ukatili dhidi ya Waislamu

    Dec 03, 2016 04:23

    Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan yuko nchini Myanmar kuchunguza ukatili wa jeshi la nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya.

  • Mwito wa Suu Kyi wa umoja wa kitafa nchini Myanmar

    Mwito wa Suu Kyi wa umoja wa kitafa nchini Myanmar

    Dec 02, 2016 03:01

    Aung San Suu Kyi, Waziri wa Mambo ya Nje na mshauri mkuu wa serikali ya Myanmar ametaka kurejeshwa umoja wa kitaifa nchini humo.

  • UNHCR: Jeshi la Myanmar linafanya njama za kuifutilia mbali jamii ya Waislamu ya Rohingya

    UNHCR: Jeshi la Myanmar linafanya njama za kuifutilia mbali jamii ya Waislamu ya Rohingya

    Nov 25, 2016 15:03

    Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR kusini mwa Bangladesh amesema kuwa, jeshi la Myanmar linabeba masuuliya ya kampeni ya kufutiliwa mbali jamii ya Waislamu wa Rohingya.

  • Waislamu wa Myanmar waandamwa na mateso ya kila upande

    Waislamu wa Myanmar waandamwa na mateso ya kila upande

    Nov 20, 2016 15:35

    Waislamu wa kabila la Rohingya wa nchini Myanmar waliokuwa wanakimbilia nchini Bangladesh kwa ajili ya kuokoa maisha yao kutokana na mauaji wanayofanyiwa na askari wa serikali ya mabudha nchini mwao, sasa wanazuia na gadi ya nchi kavu Bangladesh wasiingie tena nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS