-
Rakhine, machinjio ya Waislamu wa Rohingya, Myanmar
Nov 20, 2016 02:40Jimbo la Rakhine lenye idadi kubwa zaidi ya Waislamu nchini Myanmar limeendelea kushuhudia ukatili na mauaji ya kutisha dhidi ya wafuasi wa dini hiyo.
-
UN: 30 elfu wamelazimika kuwa wakimbizi Myanmar tangu Oktoba
Nov 19, 2016 07:41Umoja wa Mataifa umesema operesheni kali ya kiusalama inayoendelea kushuhudiwa katika jimbo la Rakhine nchini Myanmar imesababisha makumi ya maelfu ya watu kubaki bila makazi tangu mwezi uliopita wa Oktoba.
-
Kuendelea kuuliwa Waislamu wa Myanmar na jeshi la nchi hiyo
Nov 18, 2016 03:05Taasisi ya Taifa ya Arakan Rohingya ARNO (Arakan Rohingya National Organisation) imetangaza kuwa, Waislamu wasiopungua 150 wameuliwa na wanajeshi wa Myanmar katika kipindi cha siku tano zilizopita katika mkoa wa Rakhin wa magharibi mwa nchi hiyo.
-
Waislamu Warohingya 150 wauliwa katika shambulio la jeshi la Myanmar
Nov 17, 2016 07:24Waislamu wasiopungua 150 wa jamii ya Rohingya wameuliwa katika mashambulio yaliyofanywa na jeshi la Myanmar katika eneo la Rakhine.
-
Jeshi la Myanmar laua makumi ya Waislamu wa Rohingya
Nov 14, 2016 15:25Jeshi la Myanmar limeua makumi ya Waislamu wa kabila la Rohingya katika wimbi jipya la ukandamizaji unaofanyika nchini humo dhidi ya jamii hiyo ya waliowachache hususan katika mkoa wa Rakhine.
-
UNICEF: Hujuma dhidi ya watoto Myanmar inatia wasi wasi
Nov 10, 2016 13:28Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umeeleza wasi wasi wake kuhusu jinai za kutisha dhidi ya watoto zinazotekelezwa na jeshi la Myanmar katika jimbo la Rakhine.
-
Wanawake Waislamu nchini Myanmar wananajisiwa na askari
Oct 28, 2016 13:58Makumi ya wanawake Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar wanasema wanajeshi wa serikali wamekuwa wakiwanajisi na kuwadhalilisha kijinsia.
-
Serikali ya Myanmar yazuia misaada kufikishwa kwa Waislamu wa nchi hiyo
Oct 20, 2016 07:49Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetangaza kuwa serikali ya Myanmar imezuia misaada ya chakula kufikishwa kwa Waislamu wa Kabila la Rohingya wanaoishi katika jimbo la Rakhine kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.
-
Baraza la Waislamu Myanmar: Tuhuma za jeshi la polisi dhidi yetu zinatia wasi wasi mkubwa
Oct 17, 2016 08:15Baraza la Waislamu nchini Myanmar limelaani shambulizi lililofanywa hivi karibuni katika kituo cha pilisi katika jimbo la Rakhine, na kuongeza kuwa, madai yanayotolewa na jeshi hilo dhidi ya Waislamu kuhusiana na hujuma hiyo, hayana msingi wowote.
-
Kuendelea mateso dhidi ya Waislamu wa Rohingya huko Myanmar
Oct 16, 2016 02:38Shambulio la hivi karibuni la watu wasiofahamika katika kituo cha ulinzi wa mpakani kati ya Myanmar na Bangladesh kimekuwa kisingizio tosha kwa jeshi na Mabudha wenye misimamo mikali huko Myanmar cha kuwashambulia tena Waislamu wa Rohingya katika mkoa wa Rakhine.