-
IHRC yaitaka jamii ya kimataifa kukomesha mateso ya Waislamu wa Myanmar
Jul 08, 2016 07:58Kamisheni ya Kiislamu ya Haki za Binadamu yenye makao yake London nchini Uingereza (IHRC) imesema kuwa kutokuwepo mashinikizo ya kimataifa ndiyo sababu ya kuendelea mateso na ukandamiza wa mabudha wenye misimamo mikali dhidi ya Waislamu nchini Myanmar.
-
UN yataka kukomeshwa ubaguzi dhidi ya Waislamu wa Myanmar
Jul 02, 2016 08:00Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Haki za Binadamu nchini Myanmar ametoa wito wa kukomeshwa ubaguzi dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo.
-
AI: Myanmar inapaswa kuchunguza mashambulizi ya msikiti
Jun 25, 2016 14:36Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeyataja mashambulizi yaliyofanywa na Mabudha wenye misimamo mikali wa Myanmar dhidi ya msikiti kuwa ni jinai na kusisitiza kuwa, machafuko mapya yanayolenga Waislamu nchini humo yanapaswa kufuatiliwa na wahusika wake kuadhibiwa.
-
Mabudha wenye chuki washambulia msikiti wa Waislamu Myanmar
Jun 25, 2016 02:42Katika kuendelea kwa maudhi dhidi ya jamii ya Waislamu nchini Myanmar, juzi usiku makumi ya Mabudha wenye misimamo mikali walishambulia msikiti mmoja katikati ya nchi hiyo na kuwaua Waislamu kadhaa waliokuwa msikitini hapo.
-
Waislamu wa Myanmar waendelea kufanyiwa jinai za kutisha
Jun 21, 2016 03:48Umoja wa Mataifa umetangaza habari ya kuendelea jinai za mabudha dhidi ya Waislamu wa Myanmar.
-
Serikali ya Myanmar na hali mbaya ya Waislamu wa Rohingya
May 04, 2016 07:53Katika hali ambayo matatizo ya Waislamu wa Rohingya katika kambi za wakimbizi yanaendelea kushuhudiwa, makundi yanayofungamana na Waislamu yametoa ripoti kuhusiana na matatizo mapya yanayowakabili Waislamu hao.