-
UN yaitaka dunia isitishe uhusiano wa kifedha na jeshi la Myanmar
May 14, 2019 11:42Timu ya uchunguzi ya Umoja wa Mataifa imezitaka nchi za dunia kusitisha miamala ya kifedha na jeshi la Myanmar linaloendelea kuua Waislamu wa jamii ya Rohingya katika mkoa wa Rakhine.
-
Ripoti: Saudia inawatesa Waislamu wa Myanmar inaowazuilia
Apr 18, 2019 13:21Ripoti mpya imefichua kuwa Saudi Arabia inawatesa na kuwadhalilisha Waislamu wa Kirohingya wanaozuiliwa katika jela ya utawala huo wa kifalme.
-
ICC: Waliohusika katika jinai dhidi ya Waislamu Warohingya kuchukuliwa hatua
Mar 12, 2019 07:52Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imesema watu waliohusika katika jinai za kutisha dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar watakabiliwa na mkono wa sheria na kubebeshwa dhima ya jinai hizo.
-
Rais wa Iran: Wakimbizi Waislamu Warohingya werejeshwe haraka nchini Myanmar
Mar 10, 2019 01:18Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza udharura wa kuwepo utulivu na amani nchini Myanmar na kusema kuwa wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya wanapaswa kurejeshwa haraka na kwa amani katika makazi yao nchini Myanmar.
-
Sisitizo la Umoja wa Mataifa la kusaidiwa kifedha Waislamu wa jamii ya Rohingya
Feb 20, 2019 02:39Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kutolewa misaada ya kifedha kwa ajili ya Waislamu wa jamii ya Rohingya walioko nchini Bangladesh.
-
Israel yaendelea kuiuzia silaha serikali ya Myanmar licha ya mauaji dhidi ya Waislamu
Feb 09, 2019 03:46Gazeti la Kizayuni la Haaretz limeandika kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unaendelea kuiuzia silaha serikali ya Myanmar.
-
Mkuu wa jeshi la Myanmar akabiliwa na mashitaka ya mauaji ya kimbari
Jan 26, 2019 08:06Mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Myanmar amesema kuna udharura wa kumfungulia mashitaka ya jinai mkuu wa jeshi la Myanmar kwa kuongoza wimbi la mauaji dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya magharibi mwa nchi hiyo sambamba na kubakwa wanawake Waislamu wa jamii hiyo inayokandamizwa.
-
Kutangazwa muda wa kikao cha pili kati ya Rais Donald Trump na Kim Jong-un
Jan 20, 2019 13:17Jana Jumamosi Shirika la Habari la Korea Kusini, Yonhap lilitangaza kwamba kikao cha pili kati ya Rais Donald Trump wa Marekani na Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini kitafanyika mwishoni mwa mwezi ujao wa Februari na katika eneo ambalo litatangazwa baadaye.
-
Myanmar yazuia safari ya viongozi wa Umoja wa Mataifa katika mkoa wa Rakhine magharibi mwa nchi
Jan 16, 2019 13:19Afisa mmoja wa Umoja wa Mataifa ameeleza kuwa serikali ya Myanmar imeahirisha safari ya ujumbe wa umoja huo mkoani Rakhine magharibi mwa nchi hiyo.
-
Umoja wa Mataifa: Tuna wasiwasi na wimbi jipya la ukandamizaji dhidi ya Waislamu nchini Myanmar
Jan 11, 2019 08:08Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, una wasiwasi mkubwa na wimbi jipya la ukandamizaji dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar.