-
Saudia yawafukuza Waislamu wa Rohingya waliokimbia mauaji Myanmar
Jan 08, 2019 11:46Saudi Arabia imewasafirishwa kwa nguvu hadi nchini Bangladesh makumi ya wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya waliotorokea nchini humo baada ya kushadidi mauaji na mashambulizi dhidi yao katika nchi yao ya Myanmar.
-
Maseneta wa Marekani waitaka serikali yao itambue hujuma dhidi ya Waislamu Warohingya kuwa ni mauaji ya kimbari
Dec 20, 2018 04:30Kundi la Maseneta nchini Marekani limemtaka Mike Pompeo, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi hiyo atambue hujuma zinazofanywa nchini Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya kuwa ni mauaji ya kimbari.
-
Umoja wa Mataifa: Waislamu 15,000 Warohingya wamekimbia Myanmar hivi karibuni
Dec 19, 2018 11:43Nyaraka zilizotolewa na Umoja wa Mataifa zinaonyesha kuwa, Waislamu 15,000 wa jamii ya Rohingya wamekimbia kutoka Myanmar katika siku za hivi karibuni.
-
Kuongezwa vikwazo vya Baraza la Umoja wa Ulaya dhidi ya serikali ya Myanmar
Dec 12, 2018 03:25Baraza la Umoja wa Ulaya limetoa taarifa ya kuiwekea vikwazo zaidi serikali ya Myanmar kutokana na kuendelea kushuhudiwa vitendo vya utumiaji mabavu dhidi ya Waislamu Warohingya.
-
EU yaongeza vikwazo vyake dhidi ya serikali ya Myanmar
Dec 10, 2018 23:06Baraza la Umoja wa Ulaya limetoa taarifa na kusema kuwa limeamua kuiwekea vikwazo zaidi serikali ya Myanamar kutokana na ukatili na ukandamizaji iliowafanyia Waislamu wa jamii ya Rohingya.
-
Ufaransa kumpokonya uraia wa fahari, San Suu Kyi kutokana na mauaji dhidi ya Waislamu Myanmar
Dec 01, 2018 11:36Jiji la Paris nchini Ufaransa limechukua uamuzi wa kumnyang'anya uraia wa fahari kiongozi wa chama tawala nchini Myanman, Aung San Suu Kyi kutokana na mauaji yanayoendelea kufanywa na jeshi la nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya.
-
Upinzani wa mabudha wenye misimamo mikali wa kurejea Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar
Nov 27, 2018 08:58Watawa wa kibudha nchini Myanmar wamefanya maandamano wakipinga mpango wa kurejea nchini humo Waislamu wa jamii ya Rohingya.
-
Mynamar yawakamata Warohingya 106 wakielekea Malaysia
Nov 16, 2018 13:11Maafisa wa Idara ya Uhamiaji wa Myanmar wamewatia nguvuni Waislamu 106 wa Rohingya ambao walikuwa safarini kuelekea Malaysia.
-
Bangladesh yatumia askari kuwafukuza kwa nguvu wakimbizi Warohingya
Nov 14, 2018 10:51Serikali ya Bangladesh imetuma maafisa usalama wakiwemo wanajeshi na askari polisi katika kambi za wakimbizi Waislamu wa Rohingya katika eneo la Cox wilayani Bazar, kusini mashariki mwa nchi kwa lengo la kuwafukuza kwa nguvu wakimbizi hao na kuwarejesha Myanmar.
-
UN: Waislamu wa Rohingya wanakabiliwa na hatari kubwa wakirejeshwa Myanmar
Nov 13, 2018 23:09Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameitaka serikali ya Bangladesh kusimamisha mpango wake wa kuwarejesha kwa nguvu nchini Myanmar maelfu ya wakimbizi Waislamu wa Rohingya akisisitiza kuwa maisha yao yatakuwa hatarini.