Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Myanmar

  • Umoja wa Mataifa waonya kuhusu kuendelea mauaji ya umati dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    Umoja wa Mataifa waonya kuhusu kuendelea mauaji ya umati dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    Oct 25, 2018 14:00

    Mkuu wa Wachunguzi Maalumu na Timu ya Kutafuta Ukweli ya Umoja wa Mataifa nchini Myanmar ameonya juu ya kuendelea mauaji ya umati dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini humo.

  • Australia yawewekea vikwazo makamanda wa jeshi la Myanmar

    Australia yawewekea vikwazo makamanda wa jeshi la Myanmar

    Oct 24, 2018 02:51

    Serikali ya Australia imetangaza kuwawekea vikwazo makamanda watano wa jeshi la Myanmar wanaotuhumiwa kuongoza mauaji na jinai dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya.

  • Kuanza upya chokochoko za chinjachinja wa Myanmar dhidi ya Waislamu Warohingya

    Kuanza upya chokochoko za chinjachinja wa Myanmar dhidi ya Waislamu Warohingya

    Oct 16, 2018 03:26

    Kiongozi wa Mabudha wa Myanmar wenye misimamo ya kufurutu mpaka maarufu kama chinjachinja wa Waislamu wa jamii ya Rohingya ameitisha maandamano katika mji wa Yangon ambapo mbali na kuunga mkono jinai zinazofanywa na jeshi la nchi hiyo dhidi ya Waislamu Warohingya, ameikosoa vikali pia jamii ya kimataifa kwa kuwafuatilia kisheria makamanda wa jeshi hilo.

  • Warohingya: Bora tuuliwe India kuliko kurejeshwa Myanmar

    Warohingya: Bora tuuliwe India kuliko kurejeshwa Myanmar

    Oct 15, 2018 13:46

    Wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya wanaoishi kambini nchini India wamesema afadhali wauawe wakiwa ndani ya nchi hiyo badala ya kurejeshwa nchini kwao Myanmar.

  • Umoja wa Mataifa: Myanmar si mahali salama kwa Waislamu Warohingya

    Umoja wa Mataifa: Myanmar si mahali salama kwa Waislamu Warohingya

    Oct 08, 2018 08:10

    Umoja wa Mataifa umeeleza katika ripoti yake mpya kuhusu Myanmar kuwa serikali ya nchi hiyo haijatayarisha mazingira yoyote kuwawezesha Waislamu Warohingya kurejea kwenye maisha yao ya kawaida.

  • Hofu ya UN juu ya kufukuzwa India wakimbizi wa Rohingya

    Hofu ya UN juu ya kufukuzwa India wakimbizi wa Rohingya

    Oct 06, 2018 03:48

    Umoja wa Mataifa umeonesha kutiwa wasiwasi mkubwa na hatua ya India ya kuwafukuza wakimbizi Waislamu wa Rohingya na kuwarejesha nchini Myanmar.

  • Baada ya kimya cha muda mrefu Marekani yakiri, kumefanyika jina kubwa dhidi ya Waislamu, Myanmar

    Baada ya kimya cha muda mrefu Marekani yakiri, kumefanyika jina kubwa dhidi ya Waislamu, Myanmar

    Sep 26, 2018 04:07

    Baada ya kunyamaza kimya kwa muda mrefu mbele ya jinai na mauaji ya kimbari yanayofanywa dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar, hatimaye Marekani imetoa ripoti ikisisitiza kuuwa jeshi la nchi hiyo ya Kusini Mashariki mwa Asia limefanya jinai na uhalifu wa kupanga na ulioratibiwa dhidi ya jamii hiyo.

  • Pingamizi la Myanmar kwa uchunguzi wa Umoja wa Mataifa kuhusu mauaji ya kizazi ya Waislamu Warohingya

    Pingamizi la Myanmar kwa uchunguzi wa Umoja wa Mataifa kuhusu mauaji ya kizazi ya Waislamu Warohingya

    Sep 26, 2018 04:05

    Mkuu wa majeshi ya Myanmar ametangaza kuwa, Umoja wa Mataifa hauna haki ya kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo kupitia uchunguzi kuhusiana na wakazi wa jimbo la Rakhine la magharibi mwa nchi hiyo.

  • ICC yaanza kuchunguza jinai za Myanmar dhidi ya Waislamu Warohingya

    ICC yaanza kuchunguza jinai za Myanmar dhidi ya Waislamu Warohingya

    Sep 19, 2018 06:43

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imeanza kuchunguza jinai dhidi ya binaadamu zinazofanywa na serikali ya Myanmar dhidi ya Waislamu wa Rohingya.

  • Ujumbe wa bunge la Ujerumani: Maafa ya Myanmar ni maangamizi ya kizazi

    Ujumbe wa bunge la Ujerumani: Maafa ya Myanmar ni maangamizi ya kizazi

    Sep 12, 2018 03:42

    Ujumbe wa wabunge wa Ujerumani walioitembelea Myanmar wameeleza kuwa jinai zililizofanywa dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini humo si chini ya maangamizi ya kizazi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS