Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Myanmar

  • UN yataka kushughulikiwa jinai za serikali ya Myanmar dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    UN yataka kushughulikiwa jinai za serikali ya Myanmar dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    Sep 10, 2018 14:42

    Kamishna Mkuu mpya wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuanzishwa chombo cha kufuatilia jinai zinazofanywa na serikali ya Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini humo.

  • Kamisheni ya Haki za Binadamu ya UN yamtaka Aung San Suu Kyi ajiuzulu

    Kamisheni ya Haki za Binadamu ya UN yamtaka Aung San Suu Kyi ajiuzulu

    Aug 30, 2018 16:30

    Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imekemea jinai zinazofanywa na jeshi la Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini humo na uungaji mkono wa kiongozi wa chama tawala Aung Saun Suu Kyi na imemtaka ajiuzulu.

  • Takwa la Kamati ya Kutafuta Ukweli ya Umoja wa Mataifa la kushtakiwa Mkuu wa Jeshi la Myanmar

    Takwa la Kamati ya Kutafuta Ukweli ya Umoja wa Mataifa la kushtakiwa Mkuu wa Jeshi la Myanmar

    Aug 28, 2018 13:05

    Kamati ya Kutafuta Ukweli ya Umoja wa Mataifa imezungumzia jinai za wanajeshi wa Myanmar dhidi ya Waislamu Warohingya na kutoa wito wa kushtakiwa mkuu wa jeshi la nchi hiyo Jenerali Min Aung Hlaing.

  • Ripoti mpya ya jinai za jeshi la Myanmar dhidi ya Waislamu, watu elfu 24 wauawa na 17 elfu wanajisiwa

    Ripoti mpya ya jinai za jeshi la Myanmar dhidi ya Waislamu, watu elfu 24 wauawa na 17 elfu wanajisiwa

    Aug 20, 2018 04:12

    Ripoti mpya imetolewa na taasisi moja ya kimataifa kuhusiana na ukubwa wa jinai za jeshi la serikali dhidi ya Waislamu nchini Myanmar.

  • Waislamu Warohingya wanauawa kwa umati na kubakwa Myanmar

    Waislamu Warohingya wanauawa kwa umati na kubakwa Myanmar

    Jul 21, 2018 07:27

    Shirika moja la kimataifa la madaktari wataalamu limesema limekusanya ushahidi unaoonyesha wazi kuwa Waislamu Warohingya wanauawa kwa umati na kubakwa nchini Myanmar.

  • UN: Myanmar ingali inawatendea jinai Waislamu wa Rohingya

    UN: Myanmar ingali inawatendea jinai Waislamu wa Rohingya

    Jul 19, 2018 15:37

    Wachunguzi wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wamesema Waislamu wa jamii ya Rohingya wangali wanafanyiwa jinai za kuogofya na wanajeshi wa Myanmar wakishirikiana na Mabudha wenye misimamo ya kufurutu ada.

  • IHRC: Wahusika wa mauaji ya kimbari ya Waislamu wa Myanmar wapandishwe kizimbani

    IHRC: Wahusika wa mauaji ya kimbari ya Waislamu wa Myanmar wapandishwe kizimbani

    Jul 12, 2018 04:10

    Tume ya Kiislamu ya Haki za Binadamu (IHRC) inataka wakuu wa kijeshi na kiserikali nchini Myanmar wafikishwe katika mahakama ya kimataifa kujibu mashtaka ya kutenda jinai dhidi ya jamii ya Waislamu Warohingya.

  • Kupatikana na hatia waandishi habari wa Reuters waliofichua jinai dhidi ya Waislamu Myanmar

    Kupatikana na hatia waandishi habari wa Reuters waliofichua jinai dhidi ya Waislamu Myanmar

    Jul 09, 2018 14:01

    Mahakama ya mji wa Yangon nchini Myanmar, imewapata na hatia ya kufichua nyaraka muhimu za serikali waandishi wawili wa habari wa shirika la habari la Reuters ambao walifichua jinai za serikali ya Myanmar dhidi ya Waislamu wa Rohingya.

  • Madaktari wathibitisha Waislamu Myanmar wametendewa jinai za kuogofya

    Madaktari wathibitisha Waislamu Myanmar wametendewa jinai za kuogofya

    Jul 06, 2018 13:33

    Jumuiya ya Madaktari Watetezi wa Haki za Binadamu (PHR) imethibitisha ripoti za jinai za kuogofya wanazotendewa Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar.

  • Waislamu Warohingya 11,432 wamekimbia ukandamizaji Myanmar mwaka 2018

    Waislamu Warohingya 11,432 wamekimbia ukandamizaji Myanmar mwaka 2018

    Jul 05, 2018 03:39

    Waislamu Warohingya wasiopungua 11,432 wamekimbia ukandamizaji wanaotendewa nchini Myanmar na kupata hifadhi katika nchi jirani ya Bangladesh.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS