Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Myanmar

  • Msalaba Mwekundu: Myanmar sio salama kurejea wakimbizi wa Rohingya

    Msalaba Mwekundu: Myanmar sio salama kurejea wakimbizi wa Rohingya

    Jul 02, 2018 07:40

    Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu imesema sio salama kwa maelfu ya wakimbizi wa Rohingya wanaoshi kambini katika nchi jirani ya Bangladesh kurejea makwao katika mkoa wa Rakhine nchini Myanmar.

  • Matarajio ya Bangladesh kwa China kuhusu wakimbizi Waislamu wa Myanmar

    Matarajio ya Bangladesh kwa China kuhusu wakimbizi Waislamu wa Myanmar

    Jul 01, 2018 07:46

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa China ameeleza utayari wa serikali ya Myanmar kwa ajili ya kurejea nchini humo mamia ya wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya kutoka Bangladesh.

  • Uamuzi wa Umoja wa Ulaya wa kuwawekea vikwazo viongozi wa Myanmar

    Uamuzi wa Umoja wa Ulaya wa kuwawekea vikwazo viongozi wa Myanmar

    Jun 26, 2018 04:21

    Hatimaye mateso na masaibu wanaykabiliana nayo Waislamu wa kabila la Rohingya wa nchini Myanmar yameupelekea Umoja wa Ulaya kutekeleza vikwazo kwa viongozi wa Myanmar.

  • Jeshi la Myanmar: Waislamu Warohingya watakuwa salama katika maeneo waliyoainishiwa

    Jeshi la Myanmar: Waislamu Warohingya watakuwa salama katika maeneo waliyoainishiwa

    May 06, 2018 02:35

    Mkuu wa majeshi ya Myamnar amedai kuwa, wakimbizi Waislamu Warohingya wanaorejea nchini humo watakuwa salama madhali tu watabakia katika kambi na vijiji walivyoainishiwa.

  • UN: Watu 4,000 wamekimbia mapigano mapya Myanmar

    UN: Watu 4,000 wamekimbia mapigano mapya Myanmar

    Apr 28, 2018 07:43

    Umoja wa Mataifa umesema watu zaidi ya elfu nne wamekimbia mapigano mapya kati ya wanajeshi wa Myanmar na genge moja la kikabila katika muda wa wiki chache zilizopita, kaskazini mwa nchi.

  • Kuwekwa katika orodha nyeusi na UN jeshi la Myanmar kutokana na jinai zake dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    Kuwekwa katika orodha nyeusi na UN jeshi la Myanmar kutokana na jinai zake dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    Apr 16, 2018 02:52

    Umoja wa Mataifa umeliweka katika orodha nyeusi jeshi la Myanmar kutokana na jinai na ukatili wake mkubwa wa kijinsia dhidi ya wanawake na wasichana wa kabila la Rohingya.

  • Ripoti ya Antonio Guterres: Jeshi la Myanmar liliwabaka Waislamu Warohingya

    Ripoti ya Antonio Guterres: Jeshi la Myanmar liliwabaka Waislamu Warohingya

    Apr 15, 2018 07:55

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, jeshi la Myanmar lilitumia suala la ubakaji kama wenzo wa kuwafanya Waislamu wa jamii ya Rohingya wayakimbie makazi yao.

  • Jeshi la Myanmar lawekwa katika orodha nyeusi ya UN

    Jeshi la Myanmar lawekwa katika orodha nyeusi ya UN

    Apr 14, 2018 07:06

    Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imeliweka jeshi la Myanmar katika orodha nyeusi ya umoja huo, kutokana na jinai za ubakaji zilizofanywa na askari wa nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa Rohingya.

  • Kuchunguzwa kadhia ya Waislamu Warohingya wa Myanmar katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC

    Kuchunguzwa kadhia ya Waislamu Warohingya wa Myanmar katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC

    Apr 12, 2018 07:12

    Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) amewataka majaji wa mahakama hiyo yenye makao yake The Hague Uholanzi watoe amri ya kimahakama ya kuchunguza kuondoka kwa lazima mamia ya maelfu ya wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya katika jimbo la Rakhine na kuelekea Bangladesh.

  • UN: Myanmar haipo tayari kuwapokea wakimbizi Warohingya

    UN: Myanmar haipo tayari kuwapokea wakimbizi Warohingya

    Apr 08, 2018 07:27

    Umoja wa Mataifa umesema Myanmar haipo tayari kuwapokea malaki ya wakimbizi Waislamu wa Rohingya wanaoishi kambini katika nchi jirani ya Bangladesh.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS