-
Nchi za Asia zambana kiongozi wa Mynamar kuhusu mauaji ya Warohingya
Mar 18, 2018 16:25Viongozi wa nchi za Asia na Australia wamemjia juu kiongozi wa Myanmar kutokana na kutochukua hatua za maana serikali yake kukomesha wimbi la mauaji ya Waislamu wa jamii ya Rohingya mkoani Rakhine.
-
Umoja wa Mataifa watoa wito wa kusaidiwa wakimbizi Waislamu Warohingya
Mar 17, 2018 07:59Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kukusanywa misaada kwa ajili ya kuwasaidia wakimbizi takribani milioni moja wa jamii ya Rohingya wa Myanmar ambao wako katika kambi za wakimbizi nchini Bangladesh sambamba na kuandaliwa mazingira ya Waislamu hao kurejea nchini kwao.
-
Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu uwezekano wa kukaririwa maangamizi ya kizazi Myanmar
Mar 14, 2018 14:21Mshauri Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika kuzuia maangamizi ya kizazi ametahadharisha kuwa serikali ya Myanmar inataka kutekeleza mauaji mengine ya kizazi dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya katika mkoa wa Rakhine magharibi mwa nchi hiyo.
-
Sisitizo juu ya ulazima wa kuwasilishwa ICC faili la maangamizi ya kizazi nchini Myanmar
Mar 11, 2018 03:29Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa Baraza Kuu la umoja huo linapasa kuwasilisha kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) faili la jinai zilizofanywa na serikali ya Myanmar dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya.
-
UN: Tuna wasi wasi mauaji ya kimbari yamefanyika Myanmar
Mar 08, 2018 01:41Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameeleza juu ya wasi wasi mkubwa alionao kwamba yumkini mauaji ya kimbari yamefanywa dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar tangu Agosti mwaka jana 2017.
-
UN yasema mauaji dhidi ya Waislamu wa Rohingya yanaendelea Myanmar
Mar 06, 2018 07:58Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imetahadharisha kuhusiana na kuendelea mauaji ya kizazi yanayofanywa na serikali ya Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya magharibi mwa nchi hiyo.
-
Bangladesh yalalamikia hatua ya Myanmar kuweka askari wake wengi karibu na eneo walipo Waislamu
Mar 02, 2018 14:18Wizara ya Mambo ya Nje ya Bangladesh imelalamikia hatua ya Myanmar ya kuongeza idadi ya askari wake katika eneo lililo karibu na kambi za maelfu ya Waislamu wa Rohingya katika sehemu ya uzio wa mpaka baina ya nchi mbili.
-
Human Rights Watch: Satalaiti zinaonyesha kuwa jeshi la Myanmar linaendeleza jinai
Feb 24, 2018 08:12Shirika la Kutetea Haki za Binaadamu la Human Rights Watch limesema kuwa picha zilizochukuliwa kwa njia ya satalaiti zinaonyesha kwamba jeshi la Myanmar na magaidi wa Kibudha wa nchi hiyo, wanaendelea kuharibu na kuyachoma moto makazi ya Waislamu wa Rohingya katika jimbo la Rakhine nchini humo.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 25 na sauti
Feb 18, 2018 15:54Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 25 ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Kuwasilishwa kwa Myanmar orodha ya kwanza ya Waislamu wa Rohingya watakaorejeshwa nchini humo
Feb 18, 2018 08:13Waziri wa Mambo ya Ndani wa Bangladesh ameikabidhi Myanmar orodha ya kwanza ya wakimbizi wa Waislamu wa kabila la Rohingya ambao wanatazamiwa kurejeshwa katika makazi yao.