Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Myanmar

  • UN: Myanmar haijaandaa mazingira salama ya kurejea nchini Warohingya

    UN: Myanmar haijaandaa mazingira salama ya kurejea nchini Warohingya

    Feb 14, 2018 07:25

    Kamishna Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) amesema Myanmar imeshindwa kuandaa mazingira salama ya kuruhusu kurejea kwa khiari nchini humo Waislamu wakimbizi 688,000 Warohingya waliokimbilia nchi jirani ya Bangladesh.

  • Indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusiana na kuendelea mauaji ya kizazi nchini Myanmar

    Indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusiana na kuendelea mauaji ya kizazi nchini Myanmar

    Feb 07, 2018 02:37

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusiana na matokeo mabaya ya kuendelea mauaji ya kizazi yanayofanywa na serikali ya Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya katika nchi hiyo.

  • Kifungo cha miaka 14 jela chawasubiri waandishi wawili Myanmar kwa kufichua mauaji ya Waislamu

    Kifungo cha miaka 14 jela chawasubiri waandishi wawili Myanmar kwa kufichua mauaji ya Waislamu

    Feb 02, 2018 14:12

    Kifungo cha miaka 14 jela kinawasubiri waandishi wawili wa habari nchini Myanmar baada ya waandishi hao kufichua jinai za kutisha walizofanyiwa Waislamu wa jamii ya Rohingya.

  • Ripoti: Waislamu wa Rohingya walimwagiwa asidi usoni kabla ya kuzikwa hai

    Ripoti: Waislamu wa Rohingya walimwagiwa asidi usoni kabla ya kuzikwa hai

    Feb 01, 2018 14:07

    Makaburi matano mapya ya umati yamegunduliwa katika vijijini vya mkoa wa Rakhine nchini Myanmar, ambapo baadhi ya Waislamu wa Rohingya walimwagiwa tindikali katika nyuso zao kabla ya viwiliwili vyao kufukiwa wakiwa hai.

  • Wasiwasi wa UN kuhusu kurejeshwa kwa nguvu wakimbizi Waislamu wa Rohingya

    Wasiwasi wa UN kuhusu kurejeshwa kwa nguvu wakimbizi Waislamu wa Rohingya

    Jan 29, 2018 13:53

    Umoja wa Mataifa umesema una wasiwasi mkubwa na suala la kufukuzwa kutoka Bangladesh wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya wa Myanmar.

  • Washington Post: Marekani imehusika katika mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu Myanmar

    Washington Post: Marekani imehusika katika mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu Myanmar

    Jan 23, 2018 02:28

    Gazeti la Washingtion Post limeandika kuwa Marekani imehusika katika mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar.

  • Warohingya walioko Bangladesh wakataa kurejeshwa nchini Myanmar

    Warohingya walioko Bangladesh wakataa kurejeshwa nchini Myanmar

    Jan 19, 2018 13:53

    Mamia ya wakimbizi wa Kirohingya walioko nchini Bangladesh leo Ijumaa wamefanya maandamano wakipinga mpango wa kuwarejesha nchini Myanmar, ambako walikimbia mauaji na mashambulizi kutoka kwa jeshi la nchi hiyo likishirikiana na Mabudha wenye misimamo mikali.

  • San Su Kyi apongeza mauaji yanayofanywa dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    San Su Kyi apongeza mauaji yanayofanywa dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    Jan 15, 2018 06:59

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Myanmar ambaye pia ni Mshauri Mkuu wa Serikali ya nchi hiyo amepongeza mauaji yanayofanyika dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini humo.

  • Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar waendelea kufanyiwa ukatili

    Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar waendelea kufanyiwa ukatili

    Jan 05, 2018 15:01

    Ukatili na ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Myanmar unaendelea kuathiri maisha ya Waislamu wa kabila la Rohingya.

  • Mashinikizo ya kumtaka Waziri wa Mambo ya Nje wa Myanmar ajiuzulu yaongezeka

    Mashinikizo ya kumtaka Waziri wa Mambo ya Nje wa Myanmar ajiuzulu yaongezeka

    Dec 30, 2017 04:25

    Kufuatia kuendelea hujuma na ukatili unaofanywa na jeshi la serikali ya Myanmar kwa kushirikiana na Mabudha magaidi dhidi ya Waislamu wa Rohingya, walimwengu wameendelea kutoa mashinikizo wakimtaka Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Aung San Suu Kyi kung'atuka madarakani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS