-
Baraza Kuu la UN lalaani mauaji ya Mabudha dhidi ya Waislamu Myanmar
Dec 25, 2017 03:23Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio kwa wingi wa kura likilaani jinai na mauaji yanayoendelea kufanywa na Mabudha wa Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini humo.
-
Myanmar yakataa kushirikiana na mkaguzi wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa kuhusu mauaji ya Waislamu
Dec 22, 2017 04:46Serikali ya Myanmar imesema haitampa kibali cha kuingia nchini humo wala kushirikiana na Yanghee Lee, mkaguzi maalumu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa.
-
Kaburi la umati la Waislamu lagunduliwa nchini Myanmar
Dec 20, 2017 02:37Kaburi la umati limepatikana nchini Myanmar katika eneo ambalo Waislamu wa jamii ya Rohingywa wamekuwa wakilengwa na kuuawa kiholela katika mashambulizi yanayoungwa mkono na serikali katika kipindi cha mwaka mmoja sasa.
-
UN: Huenda Suu Kyi akafunguliwa mashitaka ya mauaji ya kimbari
Dec 18, 2017 07:34Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema uhalifu unaofanywa na wanajeshi wakishirikiana na Mabudha nchini Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya ni mauaji ya kimbari na yumkini wanaohusika wakiwemo viongozi wa nchi hiyo wakapandishwa kizimbani karibuni hivi.
-
Waislamu 6,700 wa Rohingya wameuawa Myanmar ndani ya mwezi mmoja pekee
Dec 14, 2017 15:55Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka MSF limesema kwa akali Waislamu 6,700 wa jamii ya Rohingya waliuliwa katika kipindi cha mwezi mmoja nchini Myanmar, tangu operesheni mpya iliyoungwa mkono na serikali ianzishwe na jeshi la nchi hiyo dhidi ya jamii hiyo ya wachache.
-
Mjumbe wa UN: Wanawake Waislamu wa Myanmar wanabakwa hadi kufa
Dec 14, 2017 03:11Mwakilishi wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusu ukatili wa kingono unaofanywa na jeshi la Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya na kutoa wito wa kutolewa azimio la Baraza la Usalama la kusitishwa ukatili huo mara moja.
-
UN: Serikali ya Myanmar inafanya mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu
Dec 06, 2017 04:53Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa uhalifu unaofanywa na Mabudha nchini Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya ni mauaji ya kimbari.
-
Rais wa Bangladesh aikosoa Myanmar
Dec 02, 2017 07:35Rais wa Bangladesh amekosoa vikali vitendo vya utumiaji mabavu vya jeshi la Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya.
-
UN: Myanmar sio salama kwa Waislamu Warohingya kurejea
Nov 24, 2017 15:52Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limesema hali katika mkoa wa Rakhine nchini Myanmar sio shwari kuweza kuwapokea malaki ya wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya waliokimbilia nchini Bangladesh.
-
Mogherini aunga mkono makubaliano ya Bangladesh na Myanmar ya kurejea Waislamu Warohingya
Nov 24, 2017 07:12Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa umoja huo unaunga mkono makubaliano yaliyofikiwa kati ya Bangladesh na Myanmar ya kurejea nyumbani wakimbizi wa Kiislamu wa jamii ya Rohingya.