-
UN: Ukatili wa kingono dhidi ya wanawake na wasichana wa Myanmar ni jinai za kivita
Nov 23, 2017 14:22Umoja wa Mataifa umesema ukatili wa kingono uliofanywa na Jeshi la Myanmar dhidi ya wanawake na wasichana Waislamu wa jamii ya Rohingya katika mkoa wa Rakhine ni jinai za kivita.
-
Taasisi 35 za Kimataifa zataka Umoja wa Mataifa uwasiadie Waislamu wa Myanmar
Nov 21, 2017 07:49Taasisi 35 za kimataifa zimeuandikia barua Umoja wa Mataifa zikitaka kuitishwe kikao cha dharura kujadili hali mbaya ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar ambao wanakabiliwa na mauaji ya umati.
-
Takwa la China kwa Bangladesh na Myanmar kuhusiana na mgogoro wa Waislamu Warohingya
Nov 21, 2017 02:38Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa China amezitaka Bangladesh na Myanmar kuutatua mgogoro wa Waislamu wa Rohingya kupitia njia ya mazungumzo ya pande mbili badala ya kusubiri utatuzi wa kimataifa.
-
HRW: Jeshi na polisi wa Myanmar wamebaka na kunajisi wanawake wengi Waislamu
Nov 16, 2017 16:01Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa, wanajeshi na polisi wa Myanmar wamefanya uhalifu mkubwa wa kunajisi na kubaka wasichana na wanawake wa Rohingya ikiwa ni sehemu ya maangamizi ya kizazi dhidi ya Waislamu nchini humo.
-
Bangladesh yaitaka dunia iishinikize Myanmar iacha kuwakandamiza Waislamu
Nov 06, 2017 02:45Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kuishinikiza Myanmar isitishe ukandamizaji wa Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini humo.
-
Safari iliyochelewa kufanywa ya Aung San Suu Kyi mkoani Rakhine nchini Myanmar
Nov 05, 2017 12:47Kufuatia mashinikizo ya kieneo na kimataifa kwa serikali ya Myanmar kutokana na mauaji yake ya halaiki dhidi ya Waislamu wa Rohingya mkoani Rakhine, hatimaye Waziri wa Mambo ya Nje na Mshauri Mkuu wa serikali ya nchi hiyo amezuru eneo hilo.
-
Myanmar yakosoa mpango wa Seneti ya US kuiwekea vikwazo vya kijeshi
Nov 04, 2017 02:40Serikali ya Myanmar imeonya kuwa, kutakuweko na taathira hasi iwapo Bunge la Seneti la Marekani litapasisha muswada wa kuiwekea nchi hiyo vikwazo vya kijeshi.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi na sauti-12
Oct 31, 2017 13:32Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 12 ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Waislamu 7 wa Rohingya waghariki katika ajali nyingine ya boti
Oct 31, 2017 13:25Waislamu saba wa jamii ya Rohingya wamepoteza maisha katika ajali mbili tofauti za boti karibu na pwani ya Bangladesh wakikimbia mauaji na ukandamizaji unaofanywa dhidi yao na serikali ya Myanmar.
-
Bangladesh kufunga uzazi wakimbizi Waislamu Warohingya kutoka Myanmar
Oct 28, 2017 15:37Maafisa wa afya nchini Bangladesh wamesema wameanzisha mpango maalumu wa kupunguza idadi ya wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya ambao wamekimbia mauaji ya kimbari huko Myanmar na kujazana katika kambi za wakimbizi nchini Bangladesh.